Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Ha ha ha haaah......
Kesi yake itakuwa ngumu kuitatua.ni shida mkuu
Ni pale unapomsomesha mtoto mpaka anamaliza msingi kwa ada za mil 3 kila mwaka,ukidhani ni wako dhen unakuja ambiwa ni wa jamaa mwingine ambaye mmefanana sana,naye alikuwa anapiga hapo nyumba ndogo yako.unaenda DNA unakuta kweli vinasaba haviendani.
Na ni mtoto pekee wa kiume uliyedhani umebahatisha kutoka nje,tofauti na watatu wa kike kutoka kwa mkeo wa ndoa.
Hahahaaaa.
Aisee bakini njia kuu,michepuko sio ishu.
Mie nakuongezea mauzi ufe mapema
Du, bora nitumie kibuyu kuieleza hiyo tafrani kuliko kujishitaki!