Karibu tena Dkt Slaa JF

Karibu tena Dkt Slaa JF

Na ndio baadhi ya wanajf mlioanza kumwaga matusi ya nguoni hapa jukwaani. Una mchango mkubwa katika kuharibu jukwaa hilo ukiongozwa na hisia za kidini.
Ni kweli kabisa. Kuna siku mtu mmoja alinifuata faragha na kunitukana vibaya sana matusi ya nguoni. Huwezi kuamini kuwa mtu huyo alikuwa anaheshimika sana hapa jukwaani. Na ndiyo sababu hata mimi kuacha kuchangia maana hali ilikua mbaya sana
 
Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf.
Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia
Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena

Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena chadema? Eti kweli ni swala la dini limekusukuma?
Umeikumbuka hii tena? Vipi ile nyingine umeipumzisha au utakuwa unacheza kwa miguu yote miwili? Nakumbuka enzi zike nikikuwekea picha ya kitoweo chako pendwa cha nguruwe ulikuwa ukikasirika sana 😂😂😂😂
 
duh, mdudu ni kitoweo chake kizuri?
Sana tulikuwa tunakula naye lakini hataki wavaa kobaz wenzake wajue, huyo hapo
downloadfile-6.jpg
 
Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf.
Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia
Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena

Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena chadema? Eti kweli ni swala la dini limekusukuma?
umerudi lini humu jamvini,?
 
Na ndio baadhi ya wanajf mlioanza kumwaga matusi ya nguoni hapa jukwaani. Una mchango mkubwa katika kuharibu jukwaa hilo ukiongozwa na hisia za kidini.
Vijana kuweni na historia ya JF kwanza
 
Back
Top Bottom