Karibu tena Dkt Slaa JF

Karibu tena Dkt Slaa JF

Mtoa mada aliwahi kupigwa ban humu mwaka 2012 akaenda kulalamika kwenye gazeti la Rai safu ya malalamiko!😀
Karne
JF-Expert Member · From Mars
Joined Jun 13, 2016
Umejiunga juzi, itakuwa ulikuwa unatumia I'd nyengine
 
Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf.
Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia
Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena

Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena chadema? Eti kweli ni swala la dini limekusukuma?
Huwa naamini siku zote ukiwa muislamu akili haiwi sawa
 
Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena chadema? Eti kweli ni swala la dini limekusukuma?
Although I'm not Dr. Slaa but which constitutional article and corresponding laws prevent him from switching sides as he has been doing for the last 10 years??

NB: A state is always governed by the laws and a constitution and not one's whim.
 
Dini ya jadi ipi? Kuanzisha nani? Ibada zenu zipo vipi?
Waafrika wote tumezaliwa katika dini za jadi yetu ila nyie mliokimbilia dini za kutoka Mashariki ya Kati ndiyo mumeasi na kutekwa na imani za watu weupe. Tunaabudu mizimu ya mababu zetu tofauti na nyie mnaabudu mizimu ya waarabu na mayahudi. Mumepotea sana.
 
Mzimu wa babu zenu wepi? Mnaabudu vipi? Hebu tueleze kidogo.
 
Back
Top Bottom