Mpya na mkononi...
Sawa Bei ikoje..?
Utakuwa anaota ndoto za alinacha
Send using IPhone X
Hiyo 300k anapata A20 safii ya kweny box akiongeza kama sh 20k tu na iko poa baraa ina betri 4000mah network 4g, ina fast changing, camera sio mbaya pia, kioo ni super amoled kiufupi iko poa ukilingnisha na bei yake kama ni mgeni kwa kariakoo nipo tayar kukupeleka unaweza kuja Pm
Oneplus series! Ni oneplus 8 na oneplus 8 pro
Utofauti wa sd 855+ na 865 sio mkubwa kivile, simu kama oneplus 7T sasa hivi ndio itakuwa nzuri sana.Oneplus series! Ni oneplus 8 na oneplus 8 pro
Vipi hii mkuu, ukilinganisha na redmi note 7/8Utofauti wa sd 855+ na 865 sio mkubwa kivile, simu kama oneplus 7T sasa hivi ndio itakuwa nzuri sana.
Mpaka ikitoka 8, 7T itakuwa chini ya 1m.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] samsung gani hiyo?? mi ndo kwanza natumia J1 ace...hatari kweli kweli
Mwaka mwing..laki 4
Kwenye camera quality Iphone amemkalisha Samsung.Ni vizuri ukajibu kwa fact! Natumai Chief-Mkwawa atakua amezipitia zote hii samsung s20 ultra vs iphone 11 pro max then atusaidie tunaotaka kuamua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye camera quality Iphone amemkalisha Samsung.
Kwenye battery endurance iphone yupo vizuri kulinganisha na samsung ikiwa na 120Hz refresh rate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama matumizi yako ni madogo sawa hatukatai ila kuona 1TB ni nyingi kwa vitu vya 4k+ haupo sahihi.
CD moja tu ya Bluray yenye uwezo wa kucheza movie za 4k, ikiwa ni dual layer ni 50GB na ikiwa ni triple layer ni GB 100. Hivyo movie ya 4k ambayo sio compressed kwenye 1TB ni movie 10 mpaka 20.
Hapo hatujagusa HDR10+ (Hiyo simu inayo), 3D, mambo ya Virtual reality etc nayo yanakula GB za kutosha.
Ukija kwenye games, game hiyo hiyo unadownload wewe mb 500 ama 1GB kwenye simu zenye resolution kubwa kunakuwa na option ya HD textures inaweza kwenda hadi 4GB ama zaidi game moja.
Ukija kwenye miziki ili uenjoy quality nzuri za Hizi simu na Loseless codecs inabidi uachane na mp3 uende format kama flacs nyimbo moja tu inaweza kuzidi mb 200.
Kuna mambo mengi sana mkuu hio 1TB inakata faster.