Bado hatujafikia kwenda huko hiyo laptop kujaza HDD ya 500 nyingi ni movie na series hizo video ni za dk ngapi zijaze hiyo TB?
Kama Samsung TB IPhone akija na yake sijui itakuaje sasa.
Umeongea deep sana kiongozi hadi umeniacha vipi hapa kaka nafanyaje ili niweze kuprove kudownload nyimbo yenye mb 200 nikiwa na ki xiaomi change note 8tStudio quality hio, tafuta simu yenye tech nzuri kama hizi za type C na Earphone highend na File la Flac ukisikiliza hurudi tena kwenye Mp3 na Earphone za 3000.
Earphone ninazo nzr sana tu ambazo zinachuja mziki mzr sana tu.Studio quality hio, tafuta simu yenye tech nzuri kama hizi za type C na Earphone highend na File la Flac ukisikiliza hurudi tena kwenye Mp3 na Earphone za 3000.
Unadhani iPhone atakuja na nn (simu yake mpya na yy namaanisha) kama mshindani wake anakuja na hili balaa?
Nimekuelewa hommie.Kwenye laptop tunaona hdd haijai kwa sababu laptop nyingi hazina uwezo wa kuplay 4k videos. Hivyo movie nyingi watu walizonazo ni Full HD au 720p.
Kama zingekuwa zinaweza kuplay 4k basi lingekuwa balaa. Maana movie ya around saa 1 ya 4K inaweza kuwa na around 20GB. It means ukiwa na movies 20 tu lazima hdd ikudai.
Hapo sijagusia 8k
Sent using Jamii Forums mobile app
File unaweza pata hapaUmeongea deep sana kiongozi hadi umeniacha vipi hapa kaka nafanyaje ili niweze kuprove kudownload nyimbo yenye mb 200 nikiwa na ki xiaomi change note 8t
Kak Asante vipi lile ombi langu karibu basi kwa group uziddi kutupa nond zaidiFile unaweza pata hapa
Pengine player ya simu isikubali utahitaji flac player kama power amp
Pia kupata ile quality yenyewe utahitaji headphone nzuri.
Duuh waishia kufurahi Tu kaka. Wewe ni mtu muhimu sana. Je kwa maoni yako S20 amemaliza kazi kwa sasa au.Kak Asante vipi lile ombi langu karibu basi kwa group uziddi kutupa nond zaidi
Iphone wanapenda kukaa nyumanyuma aiseeee watakuja na kitu tu cha kawaida....Unadhani iPhone atakuja na nn (simu yake mpya na yy namaanisha) kama mshindani wake anakuja na hili balaa?
S20 ultra wamekera tu kitu kimoja. Simu ni kali ndio, Ila kusema 45W fast charger iwe nje ya box naona samsung nao wameanza kutuletea biashara za apple walishaziacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa oneplus 8 huyo au??
Kwa watumiaji wazuri wa Samsung hivi kwa laki 3 naweza kupata Samsung gani nzuri...?
Mpya na mkononi...