Teh teh..Wazinzi utawajua tuMkuu tutumie na picha zao kabisa ili tufanye best choice..kwenye kupunguza hayo majukumu...
Located at Bugando area plot No. 67, Block ZRent a Maid weka cheti chako cha Usajili na baadhi ya stakabadhi za malipo mbalimbali ili binafsi tujue uhalali wako,maana kuna vitu vingi mbeleni nikishamchukua maid,akiiba,uharibifu mkubwa na kupeana hasara wewe unawajibika vipi?
Ukiambatanisha hvyo vingine!na ukaonesha physical address yenu basi linakuwa jambo zuri kabisa linaloendana na mshahara wa 100,000
Kila kitu kipo on point mkuu.Hizi biashara zipo duniani kote, hasa zilizoendelea, hongereni, ila badilisheni kidogo iwe kampuni kabisa na ma staff wenu wanalipa kodi, nawo walipwe stahiki zote kisheria, wenye uwezo watakuja, wale wa alfu 30 hawawafai kabisa..
Safi...
Mkuu acha hizo..kwani kuna ubaya kuwaona..Umewahi kuona shule inachagua picha za waalimu inaowataka?
acha utoto kua
Ok, tunashukuru kwa huduma, ila hao maid unaosema ni wazunguu? coz logo inajieleza. Yale mafundisho/mahubiri ya NABII TITO nayo mnayazingatia?HOUSE GIRL/MDADA WA KAZI.
Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
[emoji815]Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
[emoji815]Ana mafunzo ya mapishi bora.
[emoji815]Malezi ya watoto (Umri 0-17)
[emoji815]Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
[emoji815]Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
Kwa mshahara wa laki moja (Tshs. 100,000)
Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.
Ahsante na
Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
AU
SMS/WhatsApp 0769321005.
Email:
auctioneertz@gmail.com au
ram.tz@yahoo.com
We are Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.