Karibu Pemba Ndugu zanguni............. JF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu Pemba Ndugu zanguni............. JF.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 14, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Matangazo kama haya yapo sehemu nyingi huko kisiwa cha Pemba.............. Boflo Karibu Pemba.....................
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pemba hakunifai.....naweza kuadhirika nikapigwa viboko hadharani
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Usiogope, nenda na vyeti feki vya ndoa mkononi
   
 4. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kama wanadhani wameweza basi watambue kwanba naweza kuchukua cheti changu cha ndoa na cha mke wangu nikamkabidhi mwanamke mwingine na kuingia nae ndani ya guest hii bila wasiwasi.
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ni kweli kabisa, nilivoenda zenji nilienda na demu wangu, jambo la kwanza nikapewa maelezo kama hayo, na kwa kuwa nilikuwa na mwenyeji hawakutuzuia ila waliniambia nisilete mwanamke tofauti na huyo niliekuja nae
   
 6. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli mwamba ngoma huvutia kwake. Hapo naona wamepiga marufuku mambo yanayopendwa huku bara, lkn yanayopendwa kule visiwani hawajayakataza.

  Kama ishu ni kulinda maadili waongeze hii

  MARUFUKU KUINGIA WANAUME WAWILI KULALA CHUMBA KIMOJA
   
 7. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli hapo ulikosa maadili, lkn ungechukua mwanaume mmoja mwenye hereni pale forodhani usingeulizwa vyeti.
   
 8. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Vinapatikana wapi mkuu?
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Wewe ni alwatan Boflo. Hakuna wa kukugusa popote pale Tanzania hii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha.... alwatan ina maana kubwa sana
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Ushawahi kuona wazee wanasimama kumpisha kijana kiti maana ni mtu anayeheshimiwa sana?
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  fweza fezeha.....
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na mashoga je? Huko si ndo chimbuko Lao?
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Tehe tehe tehe,
   
 15. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Tangazo linasema kama wote mnavyeti vya ndoa mwaweza lala pamoja.
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Nimefika hapo juzi hili tangazo wamelitoa hadi mwezi mtukufu uishe
   
 17. peri

  peri JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wanalinda maadili yao, ndomana maambukizo ya ukimwi yako chini kbs kulinganisha na sehemu nyingi za tz.
   
 18. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  UNAFIKI tuu, Mbona wazungu hawawaulizi huu upuuzi na bado wanagongwa tu hovyo hovyo mitaa ya kule? Hata siku moja hawajawahi kuniuliza huu upuuzi. kote Unguja na Pemba.
   
 19. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ooops! Lakini mara zote nilikua na nke yangu. :wacko:
   
 20. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haisaidii sana kwani kale kamchezo hata vichakani kanafanyika, popote mkukubaliana, mwizi ni mwizi tu!!!
   
Loading...