karibu nyama choma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
1.JPG

mia
 
Tamasha kubwa la Nyama Choma lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam, limeanza leo na kuwashirikisha wachomaji kibao kutoka Baa mbalimbali katika Viwanja hivi vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, pichani ni katika banda la Rose Garden likiwa tayari limeivisha nyama. mia
 
Binadamu ta wakatili sana. Yaani tunawaua na kuwachoma wanyama wengine halafu tunawala!

Human beings are the only animals that can befriend other animals, feed them, protect them and even love them with one aim of killing them later for food.
 
No, I am not.

But what we do to animals is just not fair. We kill them and eat them. Don't you think they too deserve the right to enjoy life as we do?
humans are on top of food chain!!! standard primary school biology
 
hizi nyama za kuchomwa huku zageuzwa kwa mikono.....siziwezi aisee!!!
 
zinatamanisha mia. Unaweza nifungia kg 1 ya kidari na nyama ya ulimi nusu mia.
 
hivi hili tamasha linaendelea mapka lini au lilikuwa jana tu?mweee
 
Mimi pia niliacha kula nyama baada ya kufikiria huu ukatili, nilijaribu kujenga picha maumivu ya kidonda tu, je leo mnyama anapitishiwa kisu shingoni! Ulishaona anapochinjwa anavyopiga kelele? Lets unite and say NO to nyama
 
Mkuu the first thing that came into my mind when seeing the photo, ilikua hiyohiyo... SISI NI MAKATILI SANA!!!

I'm glad you thought the same thing! Quite often we people are always in denial about our undesirable characteristics.
 
Back
Top Bottom