karibu nyama choma

karibu nyama choma

hivi hili tamasha linaendelea mapka lini au lilikuwa jana tu?mweee

mkuu linaendelea. subili ntakutumia ratiba bar gani watachoma. tunaenda pale kula nyama choma. usijali. Mia
 
Mkuu the first thing that came into my mind when seeing the photo, ilikua hiyohiyo... SISI NI MAKATILI SANA!!!

binadamu tunauana sisi kwa sisi itakuwa kuuwa mnyama?. chapa ilale harrif. Mia
 
I'm glad you thought the same thing! Quite often we people are always in denial about our undesirable characteristics.

Mkuu umenikumbusha dini furani. Huwa wanatembea wameinama ili wasikanyage sisimizi. wanasema hata sisimizi ni viumbe vya Mungu so hawatakiwi kuuwawa kwa kukanyagwa. Mia
 
Back
Top Bottom