Karibu kwetu tukuyu!

Kukaja kununu,hebu tembelea na Matema beach,ngoja nianglie picha zingine nilizonazo niongezee hapo ,Mbeya Kwetu
 
aisee nimepatamani ghafla, utalii wa ndani mara hii itakuwa ni huko, si zanzibar tena. mwenyeji pliz tuwasiliane, naja kipindi cha pasaka huko
 
Kitu kingine ninachopendea tukuyu ni hali ya hewa....hakuna baridi kali sana kama mbeya mjini na hakuna joto kama kyela, beautiful place!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…