Karibu kwenye love pin code

Mkuu kabla ya hii hatua kwanza ungeanzisha registration book..ili tujue walio single na double ni wakina nani..utaweza kumfungukia misschagga..kumbe ameshabebwa zamani na Freeland ikawa utata

Hujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..

Uzi mzuri huu...

Naunga mkono hoja..

Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..
 
Last edited by a moderator:
Hujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..

Uzi mzuri huu...

Naunga mkono hoja..

Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..

Hahahahahaha......
 
Mkuu kabla ya hii hatua kwanza ungeanzisha registration book..ili tujue walio single na double ni wakina nani..utaweza kumfungukia misschagga..kumbe ameshabebwa zamani na Freeland ikawa utata

Umeleta kitu kipya...ngoja nikiiongeze ili tupate mwanzo mzuriii
 
Last edited by a moderator:
Hujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..

Uzi mzuri huu...

Naunga mkono hoja..

Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..
hahahha!!! mkuu naona umetiririka kwa vina..basi sawa
 
Dah....unaweza kufunguka kumbe unamfungukia dume mwenzio....
 
Ngoja nimuulize kama yupo tayari kupokea proposal yangu in public..eti EvNaCl nitiririke?
 
OOT ......

samahani mkuu Invisible kwa usumbufu..........najua unatizama taarifa ya habari saa hii.......
lakini.......hii imekuwaje ikatokea nimemquote huyu........wakati hata kwenye hii thread hayupo.........?......
mimi niliona nimemquote peterchoka...........what happened...........?.......
 
Attachments

  • image.jpg
    123.9 KB · Views: 150
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…