Chama cha kutetea haki na masilahi ya walimu tanzania (CHAKAMWATA) kinawakaribisha walimu wote kujiunga na chama hiki kipya chenye nia nzuri ya kusimamia masilahi ya walimu tanzania. Sisi chakamwata makato ni asilimia 1 tu. Kutokana na ibara ya 20(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano mnao uhuru wa kuamua kujiunga na chama chochote. Chama chetu kipya kina dhumuni kubwa la kusimamia na kuzitetea haki za walimu na mpaka sasa tunawanachama wengi tu wamejiunga.
karibuni sana.
karibuni sana.