Karibu kwenye kipya chama cha walimu - CHAKAMWATA

Karibu kwenye kipya chama cha walimu - CHAKAMWATA

Chakamwata ni matapeli tu maana hawawambii walimu wanakatwa hiyo 1% ukijumlisha na 2% za CWT jumla ni 3 tofauti na ukiwa CWT pekee ni 2% sasa c bora nitulie huku huku CWT.....
Kisheria CWT anatakiwa kukata agency fee ada ya uwakala kwa kuwa ana wanachama wengi mzee tutulie tu no way out CHAKAMWATA waanzilishi wake wote walishindwa uongozi CWT
 
Back
Top Bottom