J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
WanaJF,tuna furaha ya kukualikeni kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kitaifa jijini Mwanza,tuna sababu nyingi za kuifanya sherehe hii hapa:
1.Kuwashukuru wananchi wa kanda ya Ziwa kwa kura walizotupigia ingawa hazikutosha.
2.Kuimarisha chama upya,kuleta mvuto mpya kwa wananchi na wanachama wa CCM kwa kanda ya Ziwa.
3.Kuwaeleza Watanzania namna tunavyoongozwa na mtu makini kabisa.
4.Kushirikiana na wanachama kuhakikisha 2015 majimbo yote 3(ILEMELA,NYAMAGANA,UKEREWE)yaliyotwaliwa na CHADEMA yanarudi CCM.
5.Kufufua na kuimarisha upya ngome yetu ya CCM ya kanda ya Ziwa.Ni mengi mno,kwa ufupi nawasilisha.
Kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI