Karibu ktk sherehe za kuzaliwa CCM-Mwanza

Karibu ktk sherehe za kuzaliwa CCM-Mwanza

Huenda hawa wanafurahia mambo wanayoyafanya. Wakati Taifa lipo katika majonzi mtu mwingine anaandaa Sherehe. Eti ya kuzaliwa Chama!!!!! PYUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!

KICHEFUCHEFU KABISA!!!!!!!!

Wanakosa huruma hata kwa ndugu zetu wanaoteseka kwa kukosa huduma mahospitalini. Hao viongozi badala ya kujadii jinsi ya kurekebisha hili tatizo llipo wao wanajadili kusherehekea.

HAPO SI BURE KUNA 10% YA WATU!!!
 
matrekata ya kilimo kwanza yamejaa kila mikoa.
juu ya hili suala, tusipoangalia tayari hawa jamaa wanatuingiza mjini.

Wameyaleta kifisadi na wanashinikiza taasisi za serikali kama Magereza kuyanunua kana kwamba Magereza hawakujua tangia mapema yanakouzwa! Hizo ni sera za ccm na wanajua kabisa kuwa serikali ilijitoa kwenye biashara muda mrefu ila huyo SUMA JKT sijui wanataka aitwe 'private company'!
 
nakubaliana na wewe mipango mingi ya ccm tangia nyerere ni ya zima moto na kusahau tu. ndo maana tunarudi nyuma.
 
MwanaJF,salaam za upendo kwako. Tanawakaribisha sana katika sherehe za kuzaliwa CCM tar 5/02/2012 jijini Mwanza.Kila anaeingia Jamii Forum,Jukwaa la Siasa amepata ujumbe,tumeandaa ng'ombe 50,mchele gunia 50,vinywaji vya kusaza,Sato na Sangara wa kuchoma,mishkaki ya samaki mbalimbali wa kanda ya Ziwa,burudani kutoka kwa wasanii maarufu,mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa CCM taifa,mambo super kabisa.KARIBUNI SANA MWANZA,KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Hiyo ela ya sherehe wapeni madr. posho zao warudi kazini fasta!!!!!!!!!!
 
Miji na majiji yote yamechukuliwa labda waende mji wa Igunga.

Kasoro Jiji la Dar es Salaam tu! Mimi naona waende huko labda kutawafaa lakini sio Jiji la Mazeti! (read MZA)
 
Vp kuhusu matishet,kanga,sindiria,vyupi za ccm hazitokuwepo
 
Vp kuhusu matishet,kanga,sindiria,vyupi za ccm hazitokuwepo

Zipo mkuu,mie nimesha lamba Tshirt yangu leo kwahiyo ninauhakika wakula ubwabwa jpili pale ccm kirumba na baada ya hapo litakuwa dekio ghetoni kwangu,si unajua tena tunakula ccm tunalala cdm, shida itoke wapi bwana
 
Huwezi amini ,sherehe kuzaliwa ccm magunia 50 mchele yameandaliwa,vinywaji bure kwa atakayefika toka nyanza botling company na ng'ombe wa kutosha. Wahenga walisema "MASKINI MPE CHAKULA ,AKISHIBA HUSAU SHIDA." Source: Radio Kiss Fm.
 
Hewalaaaaa!zali la mentali hilo,wacha ni adjust bajeti yangu maana jpil nitakuwa ccm kirumba mapemaaaa,nakula ccm na lala cdm.ccm oyeeeeeeee
 
Nipo buswelu kesho nadamkia kirumba.CCM oyeeee!
 
Kuna taarifa nimezipata kutoka mwanza kwamba chama cha mapinduzi (CCM) kimepanga kuchinja ng'ombe 50 kwa ajili ya wananchi na wanachama mbalimbali wa chama hicho ikiwa ni sehemu ya sharehe za maadhimisho hayo. Maandalizi ya sehemu ya kupikia yanaendelea nnje ya uwanja wa ccm-kirumba. Mwenye taarifa zaid atujuze. source: Mwananchi wa Kirumba- Mwanza.
 
wananchi wajiandae kupiga tonge na nyama!
 
Duh! sidhani sababu kirumba kwenye sherehe za ccm uwanja unajaa full, watu elfu 30 na zaidi sasa ngo'ombe 50 mbona chache hii tetisi haina nguvu, sasa hata hizi nyama zitaandaliwa wapi, wagawe vi aise haitawezekana.
 
Ndicho wanachojua hicho!wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za afya,wao wanawalaghai baadhi ya wananchi kwa vijisherehe na vyakula
 
wanawaiga ANC ya Zuma nini!... ukiona hivo ujue huo ni kufikia mwisho wa ubunifu
 
wananchi wa Mwanza

hawa ng'ombe ni kitoweo cha watanzania wote kilichotayarishwa na baba wa taifa ambaye kimsingi alikiri CDM ni chama makini,

kuleni hizo nyama na wakati wa kura imekula kwao,

ccm, sifa za kijinga
 
kwenye madini wamekwapua weeee hawajachoka, sasa wanataka hadi ng'ombe zetu..???
 
Back
Top Bottom