Karibu kauli zote mbaya humu MMU za wanawake, ni za wadada wabaya!

Status
Not open for further replies.
tumeshazoea, kuwa mwanamke ni hasara.
kuwa mwanamke sio hasara na ukisema ni hasara obviously utakuwa unamkosoa mungu kwamba hamkupaswa kuwa hivyo sio? mimi kitendo cha kuona mnazungumziwa sana humu nakichukulia kama nyie watu ni wapekee na muhimu sana ili maisha yawe perfect. unawezaje kumzungumzia mtu au kitu ambacho hakina faida? hata watu wakawaida wanaofatiliwa sana ni wenye impact wasomi wanasiasa matajiri hukosi story zao kila kukicha. tatizo la wanawake ni kutojitambua na kujiweka katika mazingira yanayowafanya muonekane weak na inferior wanawake wengi wanajiona hawawezi bila external support wakati sisi wanaume external support tunaona aibu so tunajitutumua wenyewe ila ni dhana tu ndo inayowatesa wanawake
 
naona unakiri tabia yenu kwa niaba ya wanaume wotee. noted with concen uwiiiiii

Hakuna Sista, hayo ndio ninayoyaona. Kwa hiyo lara 1 alivyoanzisha ule uzi wa kutembea na mme wa mtu, ndio tuseme aliwawakilisha wanawake wote wa MMU! Sidhani.
 
Last edited by a moderator:
Nikupe siri Excel prostitutes wapo karibu kila sekta ila ni nadra sana kupata mwanamke mwanajeshi prostitute!

ni kweli mkuu!

never seen or heard before that soldiers doing prostitution.

hata wangekuwa vicheche vipi before, akishaingia tu jeshini anatulizwa kidizaini fulani!

asante kwa hili!
 
Daah mzeiyerr..naona umelenga mulemule maana mamanzi nyanya chungu (wabaya) wanasumbua sana mixa kua na mastress ya kutosha na nk..sijui ndo kukata tamaa or whatever mie sielwewiiiyyyy...over...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…