Karibu Eliakim Maswi, Jimbo la Tarime lako 2015

Nyamemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
845
Reaction score
447
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
 
kwa kuwa sisi wana kanda ya ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa watz sasa ni muda mwafaka kwako ndg maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha ccm katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
ni kweli maswi akiamua kuingia kwenye siasa atalitendea haki jimbo la tarime na ccm kwa ujumla. Hata chadema watagwaya kuweka mgombea. Hata hivyo, kwa uzalendo na utendaji kazi wake hatakiwi kuondolewa kwenye nafasi ya katibu mkuu. Hata kama mhe rais atazidiwa nguvu na walaji wa wizara ya nishati na madini yaani akina mkono, mengi and company basi amhamishie wizara nyingine nyeti, mfano hazina au maliasili. Ni ushauri wa bure.
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watz sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
Naona unatetea mgao wako wa Escrow
 
Mwizi mbaya ni yule anayeiba nyumbani na kupeleka nje, lakini yule anayeiba nje akapeleka nyumbani siku zote atatetewa na kulindwa na wa kwao maana anakula nao.
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watz sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
Kwa kweli watu kama ninyi ndo mnafanya Tanzania tuonekane hatunazo
 
Kwa hiyo mwizi apewe zawadi ya jimbo baada ya kuiba kwenye escrow. Watanzania ni wapumbavu sana. Mna mawazo ya kishenzi. Mtu ambaye angekaribishwa mahakamani na gererezani nyie mnamkaribisha jimboni,shenzi type!
 
Mtoa mada amelewa pilau la xmass. Huwezi kumpongeza mwizi pia huwezi kusema awe mbunge! kwakuwa ni mwizi unadhani huko bungeni ataenda kuandaa sheria za Namna gani? mwizi?
Mtoa Mada you've to think critically
 
Tarime ipi mleta mada unajua ccm walichofanywa serikali za mitaa.
 
Alisema Zitto na Kafulila ni was....nzi na akiwaona mitaani atawakunja. Je dhamira yake badi ipo kweli tena?
 
Ni Tanzania tu ambako wezi wanajaa bungeni wakati waadilifu wako mahabusu wnasubiri kesi zao zisikilizwe huku mahakama zikiwa sehemu ya huo uhuni
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
Safi kabisa. Hoja imeungwa mkono asilimia 1000
 
Kwa hiyo mwizi apewe zawadi ya jimbo baada ya kuiba kwenye escrow. Watanzania ni wapumbavu sana. Mna mawazo ya kishenzi. Mtu ambaye angekaribishwa mahakamani na gererezani nyie mnamkaribisha jimboni,shenzi type!

Ameiba kiasi gani?
 
Ni Tanzania tu ambako wezi wanajaa bungeni wakati waadilifu wako mahabusu wnasubiri kesi zao zisikilizwe huku mahakama zikiwa sehemu ya huo uhuni

Ameiba kiasi gani? Subiri uchunguzi ukamilike
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
wewe mdanganye tu
 
Back
Top Bottom