Uchunguzi upi? CAG na Takukuru walishamaliza kazi huo uchunguzi mnaojichunguza wenyewe hautuhusu sisi
Good, CAG na TAKUKURU wamemtaja/ onyesha ameiba shs.ngapi?
Uchunguzi upi? CAG na Takukuru walishamaliza kazi huo uchunguzi mnaojichunguza wenyewe hautuhusu sisi
Sema wewe unamuita maswi sio wana Mara labda aje kwenu awe baba yako, tambua kuwa mwizi ni mwizi tu, mpe uongozi wa familia yenu c jimbo la Tarime.
Kwani mtu wa wapi Maswi
Ameiba nini
Subiri uchunguzi ufanyike uone ukweli, sio ule umbea wa PACmuulize kwa nn ametimuliwa kazi, fedha za umma
Ndugu Igp hawa hawana tofauti na watu wanaojiita wenye hasira wanaopiga mtu na hata kuua kwa kisingizio tu cha kuwa ameitwa mwizi na mtu mwingine. Sitarajii watu wanaojinasibu kuwa great thinkers wawe wana behave kama kama wananchi wenye hasira kali.Mkuu, hawa ukawa hakuna wajualo.
Uchunguz up zaid ya wa CAG?KM C ZAUMA WHY U BENCHI?Subiri uchunguzi ufanyike uone ukweli, sio ule umbea wa PAC
Ngoreme, Serengeti
Good, CAG na TAKUKURU wamemtaja/ onyesha ameiba shs.ngapi?
Kwenu nyinyi kila Mkurya anatoka Tarime! Hamjui Wakurya wapo pia Kipunguni, MwanaGhati na Nyantira za hapa Dar. Eliakim Maswe na Jaji Werema sio Wakurya wa Tarime.Nadhani Tarime atichukua jaji mstaafu Werema.
Mugumu, Serengeti. Maswe ni Mkurya sio Mongoreme! Vikabila vya Mkoa wa Mara vingi ingawa mila na desturi ni zilezile!Ngoreme, Serengeti
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.
Kwa hiyo mwizi apewe zawadi ya jimbo baada ya kuiba kwenye escrow. Watanzania ni wapumbavu sana. Mna mawazo ya kishenzi. Mtu ambaye angekaribishwa mahakamani na gererezani nyie mnamkaribisha jimboni,shenzi type!
Ni miongoni mwa wanufaika wa stanbic kwa magunia na rumbesa
Uchunguz up zaid ya wa CAG?KM C ZAUMA WHY U BENCHI?
Hakuna mkurya ambae chimbuko lake ni maeneo uliyoyatajaKwenu nyinyi kila Mkurya anatoka Tarime! Hamjui Wakurya wapo pia Kipunguni, MwanaGhati na Nyantira za hapa Dar. Eliakim Maswe na Jaji Werema sio Wakurya wa Tarime.