Karibu Dom .........The Finest

Kumbe leo graduation ya UDOM na chuo cha mipango..dom leo kumejaa sana,msisahau kukata tiketi mapema za kurudi
 
umechelewa kuna ndege moja tu huwa inaondoka sa moja asbh.

Binti hebu njoo mjini umtoe vumbi mgeni!:biggrin:


Mhhh mmenikumbusha nyama choma pale njia panda ya mpwampwa...

Panatamkwa MBANDEE...............lakini Mnadani ni kiboko yao wote!

mi nipo stendi kuu hapa dom. kuna shabibi linaondoka saa 8 kuelekea mpwapwa unaweza kuliwahi.

Kiritimba unaondoka kwenda wapi ............baki tumpokee mgeni



Hakya nani vile......huyu sitaki ubia na mtu pamoja na jitihada za MJ kutaka kuhalalisha swaping policies zake....nasema noooooo....:spy:

Chief waswahili walisema Zimwi likujualo....................; tutakubakishia mkuu!
 
Hapana TF, kuna mdogo wangu ana graduate leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…