Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Hongera ndugu ulichukuwa kozi gani, na mtoto nafikiria nimpeleke hapo
Nakushauri mpeleke hydrology au wale wa kuchimba visima..ila zote TU ziko vzr maabara wanajitegemea wengine wote wanakuwa chini ya mabonde
Na Sasa Kuna bachelor's zimeanzishwa
4ddc7a22b64549b89c7ba84048cb9247.jpg
 
Why hydrology?
Hydrology wa surface water wanakuwa na kazi za kupima vipindi vya high flow Kama Sasa pia mid flow na dry season inategemea na wingi wa vituo na team..ila mnaweza pewa night za day 25 kwenda tu kujenga vituo.....ubaya wake hamna ndondo Kama za watu wa visima ambapo survey moja mpka million.....ila inategemea na unafanya kazi Bonde gani...kwa hydrology ni vzr ukawa wami,pangani,rufiji au Victoria..........uzuri wa survey za visima kazi yake simple Sana dakika kumi ushamaliza ..Mara nyingi ofisi ndogo za mabonde zinawashirikisha technician wote kazi moja cause Kuna upungufu wa wafanyakazi...hapo tukipiga VES japo Niko hydro
IMG-20220107-WA0001.jpg
 
Why hydrology?
Ishu ipo kwenye interview za kazi mpka upenye PSRS lazima uwe na bahati,haiba na akili maswali yao NI simple ila yanahitaji uwe mjanja kwa kuwa nimefaulu najua tips za kusaidia mtu afaulu oral interview zao.
 
Hongera ndugu ulichukuwa kozi gani, na mtoto nafikiria nimpeleke hapo
Kwa upande wa hydogeology ishu nyingi zipo bonde la ruvuma na pwani ya kusini pamoja na bonde la tanganyika.so itategemea mwanao akifaulu interview atapangiwa wapi na katibu wa wizara ......Mimi kwetu nafasi zilikuwa nne alafu waombaji 41....na zikatoka hizohizo nne... wengine inaoneokana wapo kwenye kanzidata ya sekretariet ila sijui lini watapangiwa vituo
jiwe angavu
 
Back
Top Bottom