Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

Mochwari umeme ukikatika kunakuwaje?
mkuu umenikumbusha kuna siku tuliombwa na nesi wa zamu tumsaidie kumpeleka mtu mochwari maana nilikuwa na mgojwa hodini nilikubali ila wengine waligoma, tukafika kwenye chumba cha kuhifadhia miili ya waliofariki mara pa umeme huo ukakatika hapo mwili ilikuwa ndo tumeuweka kwenye zile bati ili tupandishe kwenye fregi nilijikuta nipo mwenyewe ndani kila nikitaka kukimbia nagongana na makabati ilinibidi nijibanze kwenye kona mpk walipoenda washa genereta ila nusu kujikojolea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…