kama uko hapa ama karibu na hapa nakukaribisha angalau tupate soda pamoja
NB:Jirani na survey karibu na mlimani city
unacheki boli hapo survey sio? ni pazuri sana ila pamejificha....
Unapenda maficho wewe eenh...???
anaogopa kuchafuliwa chezea siasa wewe...
Hahaha ila sijawahi sikia mtu anajificha sehemu ya starehe especially Bar and the likes.
Hivi unawezaje kujificha sehemu yenye kadamnasi???
vipi mkuu ulifika? mie nilitoka mapema kidogo!
mkuu sipendi maficho... mie sio fisadi, hahahahahahahaUnapenda maficho wewe eenh...???
ah ah ah j2 njema mkuu
nilijifichia zangu ipamba kule kwa masister, haahahahaha....teh teh teh kwa hilo mkuu hata kitivo hukuwahi kujificha? ama mgahawani kwa masister?
One of my chilling spot.. next time nishtue i will drop by.. Smiling Saintkama uko hapa ama karibu na hapa nakukaribisha angalau tupate soda pamoja
NB:Jirani na survey karibu na mlimani city
One of my chilling spot.. next time nishtue i will drop by.. Smiling Saint
Utengano ni udhaifu!!!