CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hahaha...we mkareee wa methali
Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!!
hahaha...we mkareee wa methali
Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!!
umenikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Ilboru miaka hiyo...yeye alikua anafundisha methali,vitendawili na nahau tu.
R.I.P Morris Mgaya
Hebu tupia nahau moja basi....