Karibu bosi

Kibwebwe

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
824
259
FB_IMG_1460667188473.jpg
 
hapo unapita kimya kimya, ole wako sasa uwe na kiherehere na kupenda mambo ya faster faster, tangazo hujasoma unachagua madodo matano faster faster huku maneno meeeengi kisha unatoa buku, unakichupa chako cha maji ya uhai mkononi unaosha moja faster faster unaanza bugia. jamaa anakupokea manne yalobaki mkononi kisha anakwambia sepa, ukija juu anaelekeza kidole kwenye tangazo, kisha unakuwa mdogo kama mbegu za mchicha, kimya kimya unaondoka na simu sikioni unajifanya haloo haloo kumbe hakuna call iloingia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom