Babatunde_seneior
Member
- Jun 21, 2021
- 29
- 23
●Oil change
●kuziba pancha
●kujaza upepo
●kubadilisha matairi
Na matengenezo mengine ya gari yako
0755539092
0788887129
Ndio nipo jirani. Karibu SanaUko jirani n mtaalamu anayetengeneza zile bush za tairi? Nipo Dabaga huku, aisee gari inagonga balaa. Nataka kufunga bush zote muhimu, ili niendelee kupambana na hizi barabara za huku.