Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Sinza saa1unamkuta mvulana wa age ya kati anascrub saloon!unajiuliza maswali kibao ...!betting zimewaharibu sana watu..hamjui tu!
scrub saa moja haiusiani hapa. Kuna watu wana namna mbalimbali za kutengeneza pesa wengine kazi zao ni usiku,wengine madalali. Unaweza kuta huyo ulie muona hapo kazi zake zina mtaka awe smart muda wote.

tuache ukilitimba kufanya kazi sio lazima huwe umenuna, sura imekunjaman au asubuhi ukutwe unaoka mijashoo. Kuna watu wapo maofisini wanajifanya na busara zao , asubuhi yupo busy anaangalia porn kwa Wif ya ofisi, mwingine anawahi ofisini unajua mke au mume ni mchapakazi kumbe ana muwahi mfanya usafi apige naye game.

Hoja ni namna ya kuzuia huo wizi. Siku zote mitaaani hapo hakuna mwizi mpya, atoke mbagala aje kuiba mbezi au sinza usiku, madili yanafanywa na wazawa. Suluhu yake hapo ni umoj tu, kaaeni kikao muanze mchakato, mjadiliane ,mtambue wezi maana wanajulikana then mtapata suluhu
 
Nunua fake /"dummy CCTV na security systems nyumba yako ingerukwa. Pia ukilala chumbani weka beseni LA maji linasadia kupunguza Nguvu ya hiyo daw a
 
Wafuge mbwa Koko nyumba moja ikivamiwa tote tunabweka mtaa mzima, uzuri wa Koko huwa anabweka huku anagonga mlango tayari kukimbilia ndani kumbe ndio anakuamsha

Sikupingi, zamani nilikuwa nafuga koko, nje kukiwa na hatari, wanakuja dirishani kwangu wanaanza kubweka.. mzee unamka chapu na sime yako, unatoka nje, kucheki usalama.

Hawa koko wanaona mbaka wachawi.
 
Sikupingi, zamani nilikuwa nafuga koko, nje kukiwa na hatari, wanakuja dirishani kwangu wanaanza kubweka.. mzee unamka chapu na sime yako, unatoka nje, kucheki usalama.

Hawa koko wanaona mbaka wachawi.
Mkuu Tena Koko hachagui chakula hata mandazi anakula hao German wanakula nyama tu ukimpa ugali hali
 
Hii ndio suluhisho sahihi. Tatizo watanzania bado tunaishi kizamani mtu unaibiwa kitu halafu bado eti unauliza "nifanye nini" hivi ni kweli kwmb hujui cha kufanya?
Hivi unajua kama hao wanaoibiwa hivi ni wale maskini kwenye nyumba tena za kupanga?

Kwa akili yako unaona ni tz wangapi wanaweza kufanya hayo
 
Kupitia wizi kwenu umepenyeza CV ya mzee wako
 

Walio like hapa wote ni watoto wenzako wanaoenda chuo mwaka wa kwanza , sasa wizi umetokea sinza wewe unashusha gazeti ili tujue
1. Mzee wako ananyumba nyingi
2.Alikua muwindaji wa kujitegemea
3.Alikua anamiliki bunduki
4.alikua anashabaha sana
Nakushauri jipige kifuani mara 3 sema mimi ni mjinga sana tena mpumbavu ee Mwenyezi Mungu nisaidie
 
pole sana jirani yangu, ni sinza A upande gani?
 
Idea nzuri mkuu
Kuna namna ingine, grill yako iweze kufunguka kwa ndani. Yaani unapodesign dirisha lako, unahakikisha grill inafungukia ndani. Then baada ya grill ndio unaweka aluminium frame. Hizo grill ziwe na kikomeo kwa ndani kwa ajili ya kulock
 
SINZA INGEFANYWA SEHEMU YA MASHOGA,MADADA POA,KAMARI,BAA ETC NA SIO MAKAZI YA WATU,IWE MODERN UWANJA WA FISI 🥴 🥴 🥴
 
Kwa akili yako solution umeona kulala na maji kila siku chumbani si ndio. Punga kabisa wewe
Hivi unajua kama hao wanaoibiwa hivi ni wale maskini kwenye nyumba tena za kupanga?

Kwa akili yako unaona ni tz wangapi wanaweza kufanya hayo
 
Katika panga panga zangu nyumba

hata kama nyumba iwe nzuri kama ikulu au paris ila

ikakosa madirisha ya ku slide (ya kioo) sipangi hiyo nyumba

Tangu wapitishe Tv sehemu ambayo hata mimi sipiti NIMEKOMA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…