Dah...hebu tupe sayansi yake inafanya vipi? KadetiWanapokuja wezi kuwapulizia dawa ya usingizi kusudi mlale fofo na wizi ufanyike, fanyeni hivi kabla hamjalala!
Tia maji kwenye beseni lililo wazi kisha liweke chumbani kwako sehemu ya wazi, endapo wakija wakipulizia dawa tu, Yale maji yaliyopo kwenye ilo beseni basi litanyonya sumu yote iliyopulizwa humo ndani na kukuacha salama.
Na kwa njia iyo utaweza stuka mapema.
Ila mwanaume haipaswi kulala fofofo hadi asubuhi. Dawa ya hao vibaka ukiwakamata ni kuwafanyia tohara.Kuna jamaa yangu alikuwa kampuni moja ya ulinzi, kila asubuhi akirudi anakuta jamaa wameiba hata suruari,
Akawa anaweka umeme 'live wire' kwenye nondo kwa ndani.
Tangu siku alipokuta yebo yebo dirishani hiyo tabia iliisha hapo.
Na raha ya grili moto utokee na uanzie mlangoni.JF kuna wapumbavu wengi kweli, mada serious watu wanachangia ujinga hadi kero
Dawa ya kudhibiti wezi kama hao ni kuweka zile chuma za dirishani zikiwa zimebanana tu ili asiweze kupitisha simu
Madirisha mengi yana ma grill yenye nafasi kubwa sana na mengine hayana kabisa,
Inabidi kubadili staili ya ujengaji wa nyumba kukabiliana na hatari hii
Sasa mkuu jamaa usiku ndio anakuwa kaziniIla mwanaume haipaswi kulala fofofo hadi asubuhi. Dawa ya hao vibaka ukiwakamata ni kuwafanyia tohara.
Alafu kwa hasira akutwange nondo ya kichwa, mijitu ikishavuta bangi ile haifai.simu weka chini ya mto,kitanda chako kichwa kiwe upande wa dirisha,hatoweza kuchukua simu wala laptop
Kichwa kitapigwa rungu moja matata sanasimu weka chini ya mto,kitanda chako kichwa kiwe upande wa dirisha,hatoweza kuchukua simu wala laptop
atakutemea mate usoni akishindwa kuiba
Nabii Tito pia anaishi Sinza.Poleni! hakuna hata nyumba ya mchawi mmoja au mwenye CCTV mtaan kwenu ? akawaokoa? ila nishajizoesha kuficha kila kitu uvunguni tangu niibiwe kwa style hiyo
You made my day👏Yaki ndio nini?? Ungekuwa hutumii TECNO simu yako ingekuambia neno Yaki sahihi .
CCTV kuna nyumba ilikuwa nazo, lakini imeshindwa kutambua sura kwa maana ilikuwa usiku.Poleni! hakuna hata nyumba ya mchawi mmoja au mwenye CCTV mtaan kwenu ? akawaokoa? ila nishajizoesha kuficha kila kitu uvunguni tangu niibiwe kwa style hiyo
Simu yangu ilikuwa chini ya godoro.Sasa ndugu mbona wewe wamekubakizia simu ya JF hawa wezi mafara sana?
JF kuna wapumbavu wengi kweli, mada serious watu wanachangia ujinga hadi kero
Dawa ya kudhibiti wezi kama hao ni kuweka zile chuma za dirishani zikiwa zimebanana tu ili asiweze kupitisha simu
Madirisha mengi yana ma grill yenye nafasi kubwa sana na mengine hayana kabisa,
Inabidi kubadili staili ya ujengaji wa nyumba kukabiliana na hatari hii