Hiyo ya kununua dollar ni habari nyingine, sio ya kariakoo. Idara ya fedha ifanye kazi yake. Mimi nilikuwa Addis Ababa, kule ni vigumu kupata dola, wanakupa hela yao (Bir) uitumie pale, kama hutaimaliza kule utarudi nayo tz. South Africa hivyohivyo huwezi kupata dola kirahisi, utachezea rand yao weee hadi unarudi hapa.Wanakuja hadi mtaani siku hizi wanakopesha vyombo...hawatoi risiti!
Kkoo hivyo hivyo,pesa wanaypata wananunua dollar wanaituma kwao, hawajengi hapa,wanajenga kwao.
Thamani ya sh inashuka, tunakosa mapato tunailaumu serikali na kulalama maisha magumu, fikiria vizur kabda hujazungumza chief,unaweza kuta unaongea trash!
Sio kwa mtizamo wako. Ngoja nikusidie kidoogo japo sio sana utanielewa. China wao wanachukua mkopo bank kwa single digital. Yaan kwa asilimia 3. Sisi huku kwetu tunachukua mkopo kwa asilimia 19 mpaka 30 we kwa akili yako unaweza kushindana na huyo mtu sokon?mwenzako mwenye mtaji akitembea wewe kimbia.
Pole blohNna sumu kali ambayo nikikung’ata nayo lazima uweweseke kila ukiniona..!! Pole itaisha japo ishakuachia ulemavu wa kudumu..!!
Shida hapo sio wachina bali ni wafanya maamuzi wetu.Sio kwa mtizamo wako. Ngoja nikusidie kidoogo japo sio sana utanielewa. China wao wanachukua mkopo bank kwa single digital. Yaan kwa asilimia 3. Sisi huku kwetu tunachukua mkopo kwa asilimia 19 mpaka 30 we kwa akili yako unaweza kushindana na huyo mtu sokon?
Duh, aisee.huo muda wa kumchunguza mkinga we uliupataje?.
Kwamba tupe ufafanuzShida hapo sio wachina bali ni wafanya maamuzi wetu.
Wengi sana wapo hivi, mara nyingi huwa najiuliza kwani hii huduma au bidhaa yake ni free au nalipia.Ni kwel bhana mbongo analidhika sana, my ex yf pind mjamzto tukaenda kununua vitenge maandaliz ya kujifungulia.
Kuna duka tuliingia mdada anachat amekaa tena anajibu inshort, hata kumsikia gud hamna.
Nikaludia kumuulza koz ckuckia gud 'umesem sh ngap dada?" akawa kimya.
Hatukuendlea kuchagua na mke wang tukahama duka jirani c pesa ya kwetu bhana afu analeta nyodo kweny tonge
Mikopo ya kausha damu. Kote hadi Ulaya mkopo hauzidi 3% riba. Wanatushangaa tunawezaje kuinuka kiuchumi kwa mikopo hii.Sio kwa mtizamo wako. Ngoja nikusidie kidoogo japo sio sana utanielewa. China wao wanachukua mkopo bank kwa single digital. Yaan kwa asilimia 3. Sisi huku kwetu tunachukua mkopo kwa asilimia 19 mpaka 30 we kwa akili yako unaweza kushindana na huyo mtu sokon?
Siku moja niliwatolea mbovu pale MOI, mgonjwa kapata huduma vizuri pale kitengo cha dharura na kuletwa MOI wodini. Wale wahudumu uchwara wako busy wanajaribisha makoti huku mgonjwa anapigwa na baridi. Niliwawakia . Kuna watu walikuwa pale toka saa tisa mchana eti mpaka saa sita usiku wagonjwa wao hawajapelekwa wodini.Wengi sana wapo hivi, mara nyingine nyingi huwa najiuliza kwani hii huduma au bidhaa yake ni free au nalipia.
Bongo customer care ni mbovu siyo kwenye biashara tu bali hadi kwenye idara/taassisi za serikali.
Niliona hili NSSF wiki jana.
Kiukweli nchi yetu bado sana kwenye huduma kwa wateja halafu wakiwa kwenye hizo nafasi wanahisi washamaliza kila kitu.Siku moja niliwatolea mbovu pale MOI, mgonjwa kapata huduma vizuri pale kitengo cha dharura na kuletwa MOI wodini. Wale wahudumu uchwara wako busy wanajaribisha makoti huku mgonjwa anapigwa na baridi. Niliwawakia . Kuna watu walikuwa pale toka saa tisa mchana eti mpaka saa sita usiku wagonjwa wao hawajapelekwa wodini.
Si justify ila hili tukio limetokea last two weeks Mbeya,same as you.Ni kwel bhana mbongo analidhika sana, my ex yf pind mjamzto tukaenda kununua vitenge maandaliz ya kujifungulia.
Kuna duka tuliingia mdada anachat amekaa tena anajibu inshort, hata kumsikia gud hamna.
Nikaludia kumuulza koz ckuckia gud 'umesem sh ngap dada?" akawa kimya.
Hatukuendlea kuchagua na mke wang tukahama duka jirani c pesa ya kwetu bhana afu analeta nyodo kweny tonge
Jobless huyohuo muda wa kumchunguza mkinga we uliupataje?.
Kenya ipi unazungumzia?Wafanyabiashara wetu ndio wanaoongoza kuingiza bidhaa hafifu kutoka china na kuja kuuza kwa bei kubwa, sio watu hawa. Bidhaa za china zinazoenda Asia, ulaya, marekani na hata Kenya hapo ni tofauti sana na bidhaa zinazoletwa tz na watu wetu wenyewe. Ni heri wachina walete wenye bidhaa zao hapa na wabongo tukafungashe kwao, hata serikali itakuwa rahisi kudhibi ubora na kodi. Sio kila mtu aende china na fedha kidogo sana na kuja na bidhaa nyingi hafifu hapa kwa bei ya bidhaa safi zenye ubora
CCM kuendelea kuwepo madarakani hadi Leo Kuna uhusiano mkubwa na hiki unachokiona kariakoo na kwenye taasisi ya serikali. Serikali haitaki kuwaudhi watu kwa kuwambia kile kinachopaswa kuambiwa, maana wanazihitaji kura zao. Na pia wanaujua sera zao ndizo zilizowafikisha watu hapo walipo na vile wanavyofanya. Ni vicious cycle kaka ya nyani haoni kundule. Mwalimu alifundishwa kama vile na yeye anafundisha kama vile.Wengi sana wapo hivi, mara nyingine nyingi huwa najiuliza kwani hii huduma au bidhaa yake ni free au nalipia.
Bongo customer care ni mbovu siyo kwenye biashara tu bali hadi kwenye idara/taassisi za serikali.
Niliona hili NSSF wiki jana.
Wanakopa kwao sio kwetu. Kwenye benk zao. Pili wana access ya kuaminiwa na viwanda vyao kupitia udhamini wa serikali zao. So wanapata ile bei ya firs class. Mi napata bei ya mtu wa tatu kufikia wa mwisho. Tatu wachina wamesambazwa dunian kote kwa mission maalum kimkakati.Kama wachina wanakopa kwa riba ya 3% wakati watz wanakopa kwa riba ya 30% nani alaumiwe, wachina wa kariakoo?
Uliwaonea tu. Waulize mishahara wanalipwa Bei gani. Hicho wanachofanya kinalingana na kiasi wanacholipwa. Huwezi kutegemea huduma Bora kutoka kwa mtu ambae hana Raha na kazi yake. Mshahara haufiki tarehe 10 ya mwezi huohuo, hajui atakula nini mchana kazini, hajui nauli atapata wapi ya kurudia nyumbani. Mwajili wake hajui mtumishi wake anaishi wapi na na kula nini akiwa kazini. What do you expect?. Shida yetu sisi raia tunaelekeza lawama zetu sehemu zisizo sahihi kama wachina na watumishi, badala ya kuelekeza malalamiko kwenye route causes (mizizi) ya tatizo.Siku moja niliwatolea mbovu pale MOI, mgonjwa kapata huduma vizuri pale kitengo cha dharura na kuletwa MOI wodini. Wale wahudumu uchwara wako busy wanajaribisha makoti huku mgonjwa anapigwa na baridi. Niliwawakia . Kuna watu walikuwa pale toka saa tisa mchana eti mpaka saa sita usiku wagonjwa wao hawajapelekwa wodini.