Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

Ni kwel pia ni muhimu kufuatilia elimu ya biashara ata mitandaoni zinafundishwa biashara bila tactics ni sawa na bure hao wenzetu wametusoma weakness zetu ndio wanatupigia hapo.

Narudia elimu elimu ni kitu muhimu tusipuuze elimu.

Pia kodi kodi kodi aseee
😁😁😁😁😁😁😂😂😁😁
Pia tuache haya masuala ya kualika wawekezaji tualikane wabongo na mbongo ukipewa fursa tuache ukanjanja.

WAWEKEZAJI SIO WHITES ONLY HUU MTIZAMO TUNAJILA SANAAA.
Watu wetu hawana elimu ya wanachokifanya bali wanategemea vipaji TU. Hawasomi maandishi hata pale palipoandikwa VUTA wao wataSUKUMA na wakiona mlango haufunguki ndio watavuta, yaani try and error.
 
Wacha washindane na wageni watajifunza maana ya mteja na namna ya kuuzia watu bidhaa. Kama mchina anachoma mahindi vizuri bila ya kuyababua na moto, akayanyunyizia tangawizi na vanilla na kunikaribisha kwa bashasha na heshima kwanini aambiwe aondoke ili auze mswahili anaechoma kwa kuyaungaza huku anachat bila kujali mteja wake? Kwanini mhindi ukifika dukani kwake anakwambia karibu dugu yangu anunue kitu giniani bhana!!
Tena hawa watu weupe wanajua kutengeneza tabasam fake kwa mteja, ili tu mteja ajickie yupo sehem salama.
Ila mbongo anaongea utadhan bodigad
 
Tena nianze kutafuta mchina wa bei nafuu ,nichukue kwa jumla nilete Tanga hapa maana maduka ya hapa mengi ni hovyo.
 
Tena ningependa wachina wasambae hata kwenye sectors nyingine kama kwenye afya na elimu. Huko pia kumeoza, huduma ni mbovu.

Route cause ya tatizo hili la wetu kuwa hivi inafahamika, Kuna immediate causes, underlying causes na basic causes. Basic cause ni CCM na serikali zake; sera mibovu, mitaala mibovu, elimu mbovu na usimamizi mbovu kwenye Kila kitu.

Underlying causes: Ni serikali kudhani kitu muhimu ni amani na utulivu TU, na vitu hivyo viwili vitaletwa na CCM TU. Hivyo haitaki kuwaswaga watu wake ili wasije kuikataa CCM kwenye chaguzi.

Immediate causes: ni watu wetu kukosa ushindani, ujira mdogo, low purchasing power, rushwa, maisha rahisi (utegemezi);hata usipofanyakazi utakula kwa mjomba, lack of exposure na serikali kutokujusanya kodi effectively kwa Kila mfanyabishara hata kama ndogo kiasi gani.
 
Nadhani hata dunia ingemuacha Ujerumani atutawale tungekuwa mbali sana, Tanzania tungekuwa kwenye G7
 
Tena nianze kutafuta mchina wa bei nafuu ,nichukue kwa jumla nilete Tanga hapa maana maduka ya hapa mengi ni hovyo.
Kule kwetu watu wetu walikuwa wavivu sana, walikuwa Wana maneno makubwa lakini hawalimi mashamba makubwa Wala kufuga ng'ombe, lakini baada ya kuja wahamiaji weeengi kutoka Arusha na ng'ombe wao wengi sasa hivi na wetu wanafuga, kulima kwa matrekta na kujenga nyumba nzuri kama wao. Wageni wanaleta exposure kwa wenyeji.
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Kabisa, halafu wana bei za kuropoka, anataka muanze kushushana via bargaining, u dalali mwingi. Mtu duka la kwake, lakini ameweka chain ya madalali kumi, mpaka bidhaa inamfikia mteja imekuwa ghali.

Hawatoi risiti kwa wageni, wageni wakikimbilia nchi jirani kariakoo inalalamika.

Mchina yuko straight, hana longolongo
 
Kagera walikuwa na mabonde mengi ya kulima mpunga, wanayaangalia tu, wasukuma wameingia, mkoa unachangamka kwa kilimo cha mpunga, acha wachina watuchangamshe
 
Wabongo wanategemea ndumba ndo ziwafanyie biashara zama hizi ndo watacompete na wachina wa buy one get two.
We si unaona hadi kwenye mabus kakimbizwa Msweden, ngoja kiwanda cha mabus kikamilike chalinze ndo atakimbia zaidi ukinunua bus moja unaongezwa jingine.
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Mi mwenyewe nilikuwa kama wewe ila kuna vingi havipo sawa. Usawa wa ushindan ndio tatizo kuu
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Wanakuja hadi mtaani siku hizi wanakopesha vyombo...hawatoi risiti!
Kkoo hivyo hivyo,pesa wanaypata wananunua dollar wanaituma kwao, hawajengi hapa,wanajenga kwao.

Thamani ya sh inashuka, tunakosa mapato tunailaumu serikali na kulalama maisha magumu, fikiria vizur kabda hujazungumza chief,unaweza kuta unaongea trash!
 
Kule kwetu watu wetu walikuwa wavivu sana, walikuwa Wana maneno makubwa lakini hawalimi mashamba makubwa Wala kufuga ng'ombe, lakini baada ya kuja wahamiaji weeengi kutoka Arusha na ng'ombe wao wengi sasa hivi na wetu wanafuga, kulima kwa matrekta na kujenga nyumba nzuri kama wao. Wageni wanaleta exposure kwa wenyeji.
Aseee nondo yako hii nimeikubali sanaa.
Hii dunia tukiogopa ushindani sisi wabongo atutopiga hatua me niwe mkweli tu maduka ya kibongo wana dharau sana kwa wateja wao bei kuuubwaa.

Pia serikali iangalie inachotaka kukifanya kama wapo kihalali wachina waachwe siku zote nasema wachina waachwe watupige spana tunyooke.
 
Kule kwetu watu wetu walikuwa wavivu sana, walikuwa Wana maneno makubwa lakini hawalimi mashamba makubwa Wala kufuga ng'ombe, lakini baada ya kuja wahamiaji weeengi kutoka Arusha na ng'ombe wao wengi sasa hivi na wetu wanafuga, kulima kwa matrekta na kujenga nyumba nzuri kama wao. Wageni wanaleta exposure kwa wenyeji.
Kwa kweli ,hapo kariakoo wanadharau ni maronya yao bei juu sana ..
 
Kabisa, halafu wana bei za kuropoka, anataka muanze kushushana via bargaining, u dalali mwingi. Mtu duka la kwake, lakini ameweka chain ya madalali kumi, mpaka bidhaa inamfikia mteja imekuwa ghali.

Hawatoi risiti kwa wageni, wageni wakikimbilia nchi jirani kariakoo inalalamika.

Mchina yuko straight, hana longolongo
Madalali ni wezi tu ,hawana ishu
 
kila ndugu anajipambania hadi tone lake la mwisho, utegemezi sio mkubwa kama makabila mengine. Ona wahindi, wote wanabanana pale upanga kwenye nyumba hizohizo ili kubana matuzi; faida iwe kubwa. Mswahili anajenga nyumba kwa biashara ya umachinga miaka 10 badala ya pesa hiyo kutumika kama mtaji wa kuisogeza biashara yake level nyingine. Na akishamaliza kujenga hiko kijumba basi matangazo ni kila kona "nimejengaaaaa" na ndugu zake wote toka kijijini wanahamia kwake kuishi kwa mjomba.
Ila wakinga wanabebana sana nadhani huwajui vizuri
 
Wafanye biashara kwa kufuata kanunu.bora wawe wholesaler kuliko kuwa machinga
 
Back
Top Bottom