Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

Njia tunayoenda ni mbaya sana. Tunaenda kuwa kama Sri Lanka. Tutaishiwa dola, tutashindwa kulipa madeni na kuagiza bidhaa, hapo ndipo CCM itakapojua kuwa ule msemo wa kuchimba shimo na kudumbukia mwenyewe ni halisi.
 
huo muda wa kumchunguza mkinga we uliupataje?.
anza leo kutafuta chanzo cha mafanikio ya wakinga hapo kariakoo. Hao jamaa wanachana mbao utadhani wanachana mabua, kazi ambazo mzaramo sio tu hazitaki bali haziwezi pia. Biashara zetu sisi ni kuuza maembe aina ya mawazo na madafu kwenye mapakacha machafu na baiskeli kuukuu. Utamchukiaje mchina kama akiamua kuuza maembe ya mawazo kwenye kibanda kisafi kilichopigwa rangi chenye feni na kutumia vifungashio vizuri na kutabasamu wakati anakuuzia?
 
Kariakoo wafanyabiashara wakubwa sio wachina ni wazawa ila tu mnadanganyana tu humu. Wachina wamezidi tu kidogo wafanyabiashara wa kati wa kawaida ila hakuna wachina level za Kina Gsm, Metl, Bakhresa na wengineo kwa sasa. Bado biashara kubwa kubwa ni za watanzania. Ushamba wetu tu kuwatukuza.
Wewe hujaelewa mada umekurupuka.
Hapa mada haiongelei ukubwa wa biashara ila mada inaelezea umahiri wa wageni kwenye kufanya biashara either iwe kubwa au ndogo.
Ukiona hao wakina Gsm wamefika level za juu ujue walikuwa na nidhamu kwenye biashara zao,ingekuwa wanafanya kienyeji tu bila kujua customer care na huduma nzuri wasingefika kwenye level hizo
 
Vituo vya ITV na TBC vilianzishwa miaka mingi sana kabla ya Azam TV, nini kimetokea kwa Azam tv kuwa kubwa kuliko ITV, Star TV na hata TBC?. Tutajikaanga wenyewe kama hata baada ya miaka 60+ ya uhuru bado tunakula maembe yaliyotandazwa chini kandokando ya barabara. Unaenda dukani kwa mtu unamkuta muuzaji amenuna na bei kamili za bidhaa hazifahamiki mpaka mjadiliane kwanza apunguze, na kweli anapunguza baada ya kupoteza muda wa kuomba kupunguziwa. Kama akikubali kupunguza bei maana yake alipandisha bei ya bidhaa hiyo.

Huo umahiri si ndio unafanya biashara iwe kubwa? Kuna wachina kibao biashara zinawashinda kkoo wanaondoka, mambo sio marahisi kama mnavyoyaongea,
 
Huo ndio ukweli mchungu.
Angalia uswahilini kwa mfano mtu anauza mihogo au chapati na kweli mtu unazihitaji lakini ili uzipate inakulazimu ukakae masaa mawili kungojea ndio uzipate hii tabia inanikera sana.
Yaani maana yake hapa pamoja na kuwa hiyo ndio biashara yake ya muda mrefu lakini hajui kwa siku huwa anauza ngapi ili aziandae kabisa mteja akija achukue aondoke zake,na kama muda hautoshi kwa nini asitafute flying pan likubwa awe anachoma chapati 10 kwa mara moja(mtu mwingine anaweza kuona hapa kama haiwezekani au kama nachekesha lakini hii inawezekana na nimeishuhudia Dubai inafanyika kwa wauzaji wa kutoka Pakistan na Afghanistan).
Haya tukija kwenye mfano wa hizo TV hapo ndipo inabidi tukubali tu jamaa hao wenye damu ya kutoka Asia wametuacha mbali sana kwenye utaalamu wa biashara.
Angalia hata kwenye biashara ya usafirishaji kwa njia ya maji akiziondoa zile boti zake tutakuwa tunatumia siku nzima kwenda Zanzibar ila boti zake alizoleta zimeleta ufanisi kiasi kwamba kwenda Zanzibar imekuwa sawa tu na kwenda kibaha kutokea Dar yaani unaenda leo na kurudi leo
Vituo vya ITV na TBC vilianzishwa miaka mingi sana kabla ya Azam TV, nini kimetokea kwa Azam tv kuwa kubwa kuliko ITV, Star TV na hata TBC?. Tutajikaanga wenyewe kama hata baada ya miaka 60+ ya uhuru bado tunakula maembe yaliyotandazwa chini kandokando ya barabara. Unaenda dukani kwa mtu unamkuta muuzaji amenuna na bei kamili za bidhaa hazifahamiki mpaka mjadiliane kwanza apunguze, na kweli anapunguza baada ya kupoteza muda wa kuomba kupunguziwa. Kama akikubali kupunguza bei maana yake alipandisha bei ya bidhaa hiyo.
 
Sasa kama wachina biashara zinawashinda kwa nini hao wafanyabiashara wa kibongo wanalalamika?
Wafanyabiashara wetu ndio wanaoongoza kuingiza bidhaa hafifu kutoka china na kuja kuuza kwa bei kubwa, sio watu hawa. Bidhaa za china zinazoenda Asia, ulaya, marekani na hata Kenya hapo ni tofauti sana na bidhaa zinazoletwa tz na watu wetu wenyewe. Ni heri wachina walete wenye bidhaa zao hapa na wabongo tukafungashe kwao, hata serikali itakuwa rahisi kudhibi ubora na kodi. Sio kila mtu aende china na fedha kidogo sana na kuja na bidhaa nyingi hafifu hapa kwa bei ya bidhaa safi zenye ubora
 
Uko sahihi,na hata wateja wa kibongo pia hawataki habari za bidhaa original hao wanataka bidhaa za bei rahisi tu hawataki kusikia wimbo mwingine.
 
Sasa kama wachina biashara zinawashinda kwa nini hao wafanyabiashara wa kibongo wanalalamika?
Watu wanalalamika wachina kufanya biashara zisizowahusu na sio kwamba wachina wanafanya biashara zaidi. Kila bidhaa unayo gusa hapa kkoo kuna wabongo kibao ndio wenye mitaji na mizigo mikubwa, atleast kwa circle yangu ya biashara.
 
wanalalama wachina waondoke kariakoo ili waachwe na business as usual zao. Mteja anasubiri kurejeshewa chenchi yake nusu saa nzima. Pale Marekani bana kama muuzaji atakuchelewesha kwasababu yoyote ile atakupunguzia 10-20% ya bidhaa hiyo. Mteja ana thamani
 
Kariakoo wafanyabiashara wakubwa sio wachina ni wazawa ila tu mnadanganyana tu humu. Wachina wamezidi tu kidogo wafanyabiashara wa kati wa kawaida ila hakuna wachina level za Kina Gsm, Metl, Bakhresa na wengineo kwa sasa. Bado biashara kubwa kubwa ni za watanzania. Ushamba wetu tu kuwatukuza.
Haujamuelewa mleta uzi
 
Uko sahihi,na hata wateja wa kibongo pia hawataki habari za bidhaa original hao wanataka bidhaa za bei rahisi tu hawataki kusikia wimbo mwingine.
Hata ulaya na marekani pia kuna wanaopenda vitu vya bei rahisi za clearance. Ndio maana bidhaa za china zimejaa kwenye maduka yao kwakuwa ni bora na bei rahisi. China wana quality aina zote za bidhaa, watu wetu wanatoa special order ya bidhaa za quality ya chini sana kuleta tz. Kuna aina ya Simu kutoka China zinapatikana kariakoo, huwezi kuipata Kenya hata Zanzibar; poor, poor,poor!!!
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.

Hawa jamaa zetu kutoka Pemba, Njombe, Kigoma, Kilimanjaro n.k waliopo Kariakoo hawataki kabisa kusikia tunanunua bidhaa kwa bei nafuu na kufanya maisha yetu yawe magumu kidogo.

Wao wanawaza kutupiga bei kubwa kwa kisingizio cha uzawa na uzalendo uchwara, wakati wateja wanunuzi raia wa kawaida tunataka unafuu wa maisha na bei za bidhaa
 
Haujamuelewa mleta uzi
Nimemulewa vizuri tu.

My point huwi mfanyabiashara mkubwa kwa kuwa na customer care nzuri ama mbaya unakuwa mfanya biashara mkubwa kwa kujua unachofanya, yeye mwenyewe anaongea tu hapa ila hajui situation ya kkoo. Nakupa mfano mdogo Don wa Pazia wa kichina hapo kkoo anaitwa mama "Mkali" hilo jina halijakuja kirahisi, huyo mama mkali balaa na matusi makubwa, makubwa, kila mtu a nafahamu matusi yake ila still wananunua.

Biashara kubwa unapata kwa point Mali nzuri, bei nzuri, upatikanaji wa bidhaa muda wote etc.

Kuna wapuuzi kkoo wanaleta bidhaa bei ghali, wanajua tu za bei rahisi zitaisha, zikiisha huko mnakuja kukimbilia kwao kwa bei ya juu, mtu hana stress miezi 2-3 mzigo upo tu stoo anakusubiria.

So biashara ni kipaji, experience na uelewa wa soko husika na sio Uchina, Uafrika etc na hilo lina practical examples hapa hapa kkoo wachina kibao wanaondoka, Wachina kibao wanafajikiwa and vice versa is true.

Ila so far biashara nyingi bado wabongo ndio wanapiga hela zaidi ya wachina.
 
Watu wanalalamika wachina kufanya biashara zisizowahusu na sio kwamba wachina wanafanya biashara zaidi. Kila bidhaa unayo gusa hapa kkoo kuna wabongo kibao ndio wenye mitaji na mizigo mikubwa, atleast kwa circle yangu ya biashara.
Sisi wateja (wanunuzi) tusipangiwe kabila la kutuuzia bidhaa, kama mchina atanikera kwenye biashara yake nitanunua kwa mmatumbi mwenzangu mimi mwenyewe. Hakuna biashara isiyomhusu mtu; biashara zote zinatawaliwa na kanuni ya soko ya demand, supply, price, customer care (hospitality) and 5s.
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Naunga mkono hoja
 
Wakinga wameharibu mfumo wa biashara wa kariakoo. Wakishapata pesa nyingi wao wanahamia kwenye kujenga mahoteli na kariakoo wanawaachia ndugu zao wasio na customer care
 
Back
Top Bottom