Safari yetu ni ndefu sana, kuwafukuza wachina mitaani kutatuchelewesha. Yaani unakula chakula kibichi kwakuwa tu kimepikwa na mkeo.
Kufanya kazi na kuhudumia watu vizuri kumegeuka ni utamaduni kwa baadhi ya watu na makabila na mataifa kutokana na watoto wao wamezaliwa na kukuta tabia hiyo kutoka kwa mababu, mabibi na wazazi wao.
Nyerere ndiye aliyetupoteza sisi. Wakati tunatafuta uhuru alitwambia tunatafuta uhuru ili kuondoka na kero za kulipa Kodi na unyapara. Baada ya kupata uhuru akafuta Kodi na unyapara hadi watu wakaaminishwa kuwa kulipa Kodi na kusimamia . ni ukoloni