eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,804
- 16,477
Mkuu jamaa sio watu wazuri, hizo zote ni strategy. Wakishizaa na mbongo ndio ameshaata uhalali wakuishi na kumiliki mali kwa kupitia mgongo wa familia. hawa jamaa wana target kubwa sana za mbali. acha wabongo washerekee kuuziwa jeans bei chee na mchina huku tukisubiri wachina kufikia malengo yao ambayo sote kwa pamoja tutakuja kulia mbeleni
Kwa sasa ukifanya hesabu za haraka haraka, hakuna mtu wa kumzuia mchina kwa kila wanachofanya. Akina Trump walikuwa wakiwabeza, lakini leo hii wanaanza kufanya tafiti ati nini kilitokea mpaka tukawaacha wafike hapa walipo. They are untamed animals.