Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

Waulize mishahara wanalipwa Bei gani. Hicho wanachofanya kinalingana na kiasi wanacholipwa. Huwezi kutegemea huduma Bora kutoka kwa mtu ambae hana Raha na kazi yake. Mshahara haufiki tarehe 10 ya mwezi huohuo, hajui atakula nini mchana kazini, hajui nauli atapata wapi ya kurudia nyumbani. Mwajili wake hajui mtumishi wake anaishi wapi na na kula nini akiwa kazini. What do you expect?
Haijalishi unalipwa kiasi gani, as long as umekubali ile kazi fanya ,kama hutaki kaa nyumbani. Sisi wafanya usafi wa ofisini kwetu wanalipwa 600k na wanafanya kazi kwa weledi kabisa. Na wanafika ofisini saa moja kasorobo. Sasa wale manesi si wanalipwa kama hizo ,kwa nini wasifanye kazi kwa weledi. Mimi nilianza na kazi ya 150k, na nilikuwa nafanya kwa weledi kabisa na kujali wateja.
 
Kwamba tupe ufafanuz
Wanachofanya watalawa wetu ni kwenda kuzima moto pale panapofukuta moshi ili oasiwake moto kamili ambao unaweza kusambaa na kufika hata kule kwao waliko. Uchunguzi huo wa wachina wa kariakoo ni sehemu ya mkakati huo.
 
Siku moja niliwatolea mbovu pale MOI, mgonjwa kapata huduma vizuri pale kitengo cha dharura na kuletwa MOI wodini. Wale wahudumu uchwara wako busy wanajaribisha makoti huku mgonjwa anapigwa na baridi. Niliwawakia . Kuna watu walikuwa pale toka saa tisa mchana eti mpaka saa sita usiku wagonjwa wao hawajapelekwa wodini.
Ungewapa hela uone moto wake hadi Raha. Wangemhudumia mgonjwa wako hadi useme naaam!!! Hali hiyo haiko MOI TU, Iko hata polisi, mahakamani, elimu, serikali za mitaa, na kote. Njaa babaaa!!
 
Ianzishwe kampeni ya ungisha wachina ili hawa mawinga na wauzaji wenye nyodo waisome namba.

Mwenye machimbo OG ya wachina kariakoo aweke hapa
 
Kiukweli nchi yetu bado sana kwenye huduma kwa wateja halafu wakiwa kwenye hizo nafasi wanahisi washamaliza kila kitu.
Mtushi nani anapenda kusomesha mtoto wake shule za kata? Watoto wanakokwenda na vidumu vya maji na ufagio mkononi kisha kuoewa mtihani mmoja pamoja na wanafunzi wanaosoma shule za kisure wanazosoma watoto na wajukuu wa viongozi wao? Kifupi wamegoma lakini hawatangazi. Watumishi wanakopesheka kwenye taasisi za fedha, hivyo Wana madeni yanayowatoa kwenye mudi ya kuhudumia wateja wao wakati wakikabiliana na marejesho yenye riba kubwa.

Tz imeorodhesha kwenye nchi ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani.
 
Umitashumta kaletwa HUSSEIN BOLT kubabake
Mzize dereva bodaboda mbona anapasua anga katikati ya wageni akina Chama, Dube, Musonda, Aziz Ki, Pacome? Kapombe na Shabalala je? Tuache uvivu
 
Nakubali kwa kweli maana Wakinga na Wapemba wamezidi ushirikina na hawana ubunifu wowote zaidi ya kufuga majini na kurogana tu.
Kama ukishindwa kumshinda ungana nae. Ungana na anaefanya vizuri badala ya kumchukia. Pale chuoni kwetu wakati huo tulikuwa na mhindi aliyekuwa anatuzidi Kila kitu darasani, watu wengi walimchukia lakini Mimi nilianua niwe rafiki yake wa pekee miongoni mwa weusi pale chuoni. Ukaribu wangu kwake niligundua kuwa jamaa alikuwa na past papers nyingi sana kutoka kwa ndugu zake waliomaliza vyuo mbali mbali duniani. Nikamuonba anigawie tusome wote nami hali yangu ikaanza kuimarika mule darasani hadi Mimi mwenyewe nilikuwa nikiamini kuwa jamaa ni ama geneus au ananunua mitihani, kumbe sivyo bwanna.
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Wao wachina wanaruhusu ukafanye biashara za umachinga
nchini kwao??
 
Haijalishi unalipwa kiasi gani, as long as umekubali ile kazi fanya ,kama hutaki kaa nyumbani. Sisi wafanya usafi wa ofisini kwetu wanalipwa 600k na wanafanya kazi kwa weledi kabisa. Na wanafika ofisini saa moja kasorobo. Sasa wale manesi si wanalipwa kama hizo ,kwa nini wasifanye kazi kwa weledi. Mimi nilianza na kazi ya 150k, na nilikuwa nafanya kwa weledi kabisa na kujali wateja.
Are you serious!! Lakini 6 ukikata NSSF na NHIF na deni la mkopo utabakiwa na hela ngapi? Nikuhudumie vizuri wewe nikiwa na njaa nimerogwa? Pale UDSM wanafunzi walikuwa wanagomea masomo kwasababu ya malipo kidogo ya pesa ya vitabu na stationery, hivyo walikuwa wanafukuzwa chuo bila kuwa na fedha hata kidogo ya kula na nauli. Mwisho wake wakabadilisha mbinu ya kugomea, wanachukuwa hiyo posho kidogo kwanza halafu wanaendelea na mgomo wao kudai Ile nyingine.

Nadhani hata watumishi wanachua kwanza hiyo pesa kidogo halafu wanaendelea na mgomo wao kudai Ile nyingine iliyobaki ikifika meimosi.
 
Mwajiri anawalipia kodi na NSSF.
 
Kwani huwezi kufanya kazi huku unadai nyongeza?
 
Ungewapa hela uone moto wake hadi Raha. Wangemhudumia mgonjwa wako hadi useme naaam!!! Hali hiyo haiko MOI TU, Iko hata polisi, mahakamani, elimu, serikali za mitaa, na kote. Njaa babaaa!!
Sikutoa hata mia na walimhudumia mgonjwa wangu.
 
Wewe Unadhani wamemhudumia na wamekuogopa, hapana huduma nzuri ni Ile itakayo moyoni kwa mtu. Subiri aende wodini na kukutana nao huko.

Shida yetu tunataka mtumishi mwenye njaa atabasamu. Mwalimu anaetakiwa kufundisha watoto 25 afundishe darasa la watoto 100 huku anatabasamu na kuimba mabata wadogo wanaogelea na kulia kwakwakwa. Polisi ambae hajala amkimbize mwizi na kumkamata na kumpeleka mahakamani.
 
Kuna wengine ikifika saa 7 kasoro wanafunga kwenda kupumzika hadi saa 9. Jinga kweli sidhani wachina wana huo upumbavu!
Kuna wangine wanafunga wakati wa kuswai adhuhui, alasii, magharibi na insha, wanafunga pia jirani mtaani akifa wachina hawana hilo, kazikazi tu
 
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja

TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa timu Moja vijana wetu walipata uzoefu mkubwa kutoka kwa wageni. Kila golikipa sasa hivi anadaka kama Diara na Camara.

Utakuwa ujinga kama tutasema waondoke ili watu wetu wafanye hizo biashara, watakuwa machinga milele na kutoa huduma mbovu kwa wateja wao. Hata ukienda bar watu wetu hawajui kuwahudumia wateja wao.
Naunga mkono Hoja

Nyani hawezi kufanana na Binadamu hata siku moja ila anaweza kuiga matendo ya Wanadamu kama kumenya ndizi kwa mikono na kula
 
Kariakoo wafanyabiashara wakubwa sio wachina ni wazawa ila tu mnadanganyana tu humu. Wachina wamezidi tu kidogo wafanyabiashara wa kati wa kawaida ila hakuna wachina level za Kina Gsm, Metl, Bakhresa na wengineo kwa sasa. Bado biashara kubwa kubwa ni za watanzania. Ushamba wetu tu kuwatukuza.
Hao Akina METL, BAKHRESSA na GSM sio watanzania, hata kama ni Watanzania ni Uraia tu lakini sio NYANI

NYANI Hawawezi biashara, wanaweza Nyodo na Uchawa
 
Kariakoo wafanyabiashara wakubwa sio wachina ni wazawa ila tu mnadanganyana tu humu. Wachina wamezidi tu kidogo wafanyabiashara wa kati wa kawaida ila hakuna wachina level za Kina Gsm, Metl, Bakhresa na wengineo kwa sasa. Bado biashara kubwa kubwa ni za watanzania. Ushamba wetu tu kuwatukuza.
So unavyo fikiri soko bado hawajaliteka ama tayari?
 
Back
Top Bottom