Ulete mrejeshoNgoja nikachungulie makoroboi msongamano wake
Watu wa Dar mna nyoyo za kuringishiana sana ndo maana hapo wengine utakuta wamekopa hizo pesa za maandaliz ya sikukuu.Ukweli hali n ngumu sis wengi wa mikoan tukipata ugal na dagaa na nguo zetu za zaman tunasema inshallah sikukuu inapitaHabari zenu waungwana, natumai mpo salama. Nipo na nimezunguka maeneo tofauti huku Kariakoo kwa kifupi watu ni wengi nadhani hii ni kutokana na maandalizi ya sikukuu ya Eid.
Nitoe tahadhari kwa wote mlioko huku kuwa makini kwa mambo yafuatayo
a)kuweni makini maana wezi nao ndio kama wameambiwa kaibeni
b)Wale wenye watoto wadogo ni vyema mkawahi kurudi nyumbani maana kuna uwezekano wa watu kufika makwao kesho.
c)Wale wenye matatizo ya kukosa pumzi siku ya leo sio ya kuja kabisa huku maana tunavutiana hewa na hii ni kutokana na wingi wa watu hali ya jiji la Dar.
Mwisho napenda niwatakie maandalizi mema ya sikukuu.
South
Kwa maana hiyo mwezi ujao wafanyakazi wengi watabatizwa ubatizo wa "mangi" wa dukani?Idi imekuja na mshahara so usishangae mkuu
Mleta mada anasema "huu ndio muda muafaka wa vibaka"Kariakoo imetapika aisee ....nimechanganyikiwa Hata pale watu wanaposema maisha ni magumu pesa hakuna,vitu bei juu.lakini nimeshangaa leo!!
Na kusafiri wetu wa umma umekuwa shida sana gari zinajaa ile mbaya!!
Sio kila mtu anaeleta thread inayohusiana na Dar basi anaishi huku. Vile vile ni kawaida maandalizi ya sikukuu kuwa hivi kwa sehemu mbalimbali TzWatu wa Dar mna nyoyo za kuringishiana sana ndo maana hapo wengine utakuta wamekopa hizo pesa za maandaliz ya sikukuu.Ukweli hali n ngumu sis wengi wa mikoan tukipata ugal na dagaa na nguo zetu za zaman tunasema inshallah sikukuu inapita
Usisahau kufika langolango.Ngoja nikachungulie makoroboi msongamano wake
Huko mbali naishia huku town tuUlete mrejesho
Usisahau kufika langolango.