KERO Serikali itusaidie Wananchi wa Tabora, tunateseka kwa uhaba wa sukari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.

Bei ya sukari si rafiki, mimi na maisha yangu magumu sukari kilo moja ni shilingi 6,000 na ninanunua kwa ajili ya Watoto wangu wadogo wawili waweze kupata uji wenye sukari asubuhi.

Naomba Serikali ya Tabora itusaidie sisi wenye kipato cha chini tumapata wakati mgumu kutokana na hali hiyo, naumiza sana na maisha ya Tabora.

Biashara zilivyo ngumu, unauza unajikusanya unajisemea sasa nikapate walau robo ya sukari na maharage aisee inaumiza sana.
 
Fika jimboni kwa Mh Bashe,ni hapo Nzega mjini,wasilisha MALALAMIKO yako physically kwake,labda atafanyia kazi. ...na hivi mnatoka mkoa mmoja
 
Sukari sio muhimu sana kama chumvi so kama ugali, wali, nyama, pilau, makuku na mazaga zaga mengne yasio hitaji sukari na tunakula tuishi humo humo sukari ni starehe tu kama starehe nyingne
 
Hakuna anae jali una nunulia watoto ww nunua tu au kama vp tabora asali nyingi weka asali kwenye uji
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.

Bei ya sukari si rafiki, mimi na maisha yangu magumu sukari kilo moja ni shilingi 6,000 na ninanunua kwa ajili ya Watoto wangu wadogo wawili waweze kupata uji wenye sukari asubuhi.

Naomba Serikali ya Tabora itusaidie sisi wenye kipato cha chini tumapata wakati mgumu kutokana na hali hiyo, naumiza sana na maisha ya Tabora.

Biashara zilivyo ngumu, unauza unajikusanya unajisemea sasa nikapate walau robo ya sukari na maharage aisee inaumiza sana.
 
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.

Bei ya sukari si rafiki, mimi na maisha yangu magumu sukari kilo moja ni shilingi 6,000 na ninanunua kwa ajili ya Watoto wangu wadogo wawili waweze kupata uji wenye sukari asubuhi.

Naomba Serikali ya Tabora itusaidie sisi wenye kipato cha chini tumapata wakati mgumu kutokana na hali hiyo, naumiza sana na maisha ya Tabora.

Biashara zilivyo ngumu, unauza unajikusanya unajisemea sasa nikapate walau robo ya sukari na maharage aisee inaumiza sana.
Tabora mnadai sukari! Mbona asali zipo nyingi tu, na ndati nazo zinafaa kwenye chai zina sukari nyingi tu.
 
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.

Bei ya sukari si rafiki, mimi na maisha yangu magumu sukari kilo moja ni shilingi 6,000 na ninanunua kwa ajili ya Watoto wangu wadogo wawili waweze kupata uji wenye sukari asubuhi.

Naomba Serikali ya Tabora itusaidie sisi wenye kipato cha chini tumapata wakati mgumu kutokana na hali hiyo, naumiza sana na maisha ya Tabora.

Biashara zilivyo ngumu, unauza unajikusanya unajisemea sasa nikapate walau robo ya sukari na maharage aisee inaumiza sana.
Tumieni asali kwa kipindi hiki ndg zangu.
 
Back
Top Bottom