South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,137
Habari zenu waungwana,
Natumai mpo salama. Nipo na nimezunguka maeneo tofauti huku Kariakoo kwa kifupi watu ni wengi nadhani hii ni kutokana na maandalizi ya sikukuu ya Eid.
Nitoe tahadhari kwa wote mlioko huku kuwa makini kwa mambo yafuatayo;
a)Kuweni makini maana wezi nao ndio kama wameambiwa kaibeni
b)Wale wenye watoto wadogo ni vyema mkawahi kurudi nyumbani maana kuna uwezekano wa watu kufika makwao kesho.
c)Wale wenye matatizo ya kukosa pumzi siku ya leo sio ya kuja kabisa huku maana tunavutiana hewa na hii ni kutokana na wingi wa watu hali ya jiji la Dar.
Mwisho napenda niwatakie maandalizi mema ya sikukuu.