Kariakoo imefurika watu: Tahadhari kwa wanaokuja huku

Mkuu umetoa ushauri mzuri sana nauona umuhimu wa JF! Jmn fuaten ushauri mie nmepita pale nkitokea kazn kwa kweli hali ni mbaya hakuna namna ya kutembea sijui kama nimeeleweka vzr
Watakua wamekuelewa wahusika
 
Watu wa Dar mna nyoyo za kuringishiana sana ndo maana hapo wengine utakuta wamekopa hizo pesa za maandaliz ya sikukuu.Ukweli hali n ngumu sis wengi wa mikoan tukipata ugal na dagaa na nguo zetu za zaman tunasema inshallah sikukuu inapita

Dar ni kutambiana tu mkuu....hata kwa pesa za vikoba.:D
 
Back
Top Bottom