Kariakoo imefurika watu: Tahadhari kwa wanaokuja huku

South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,514
5,137
Habari zenu waungwana,

Natumai mpo salama. Nipo na nimezunguka maeneo tofauti huku Kariakoo kwa kifupi watu ni wengi nadhani hii ni kutokana na maandalizi ya sikukuu ya Eid.

Nitoe tahadhari kwa wote mlioko huku kuwa makini kwa mambo yafuatayo;
a)Kuweni makini maana wezi nao ndio kama wameambiwa kaibeni

b)Wale wenye watoto wadogo ni vyema mkawahi kurudi nyumbani maana kuna uwezekano wa watu kufika makwao kesho.

c)Wale wenye matatizo ya kukosa pumzi siku ya leo sio ya kuja kabisa huku maana tunavutiana hewa na hii ni kutokana na wingi wa watu hali ya jiji la Dar.

Mwisho napenda niwatakie maandalizi mema ya sikukuu.

South
 
Kariakoo imetapika aisee ....nimechanganyikiwa Hata pale watu wanaposema maisha ni magumu pesa hakuna,vitu bei juu.lakini nimeshangaa leo!!

Na kusafiri wetu wa umma umekuwa shida sana gari zinajaa ile mbaya!!
 
Habari zenu waungwana, natumai mpo salama. Nipo na nimezunguka maeneo tofauti huku Kariakoo kwa kifupi watu ni wengi nadhani hii ni kutokana na maandalizi ya sikukuu ya Eid.
Nitoe tahadhari kwa wote mlioko huku kuwa makini kwa mambo yafuatayo
a)kuweni makini maana wezi nao ndio kama wameambiwa kaibeni
b)Wale wenye watoto wadogo ni vyema mkawahi kurudi nyumbani maana kuna uwezekano wa watu kufika makwao kesho.
c)Wale wenye matatizo ya kukosa pumzi siku ya leo sio ya kuja kabisa huku maana tunavutiana hewa na hii ni kutokana na wingi wa watu hali ya jiji la Dar.
Mwisho napenda niwatakie maandalizi mema ya sikukuu.

South
Watu wa Dar mna nyoyo za kuringishiana sana ndo maana hapo wengine utakuta wamekopa hizo pesa za maandaliz ya sikukuu.Ukweli hali n ngumu sis wengi wa mikoan tukipata ugal na dagaa na nguo zetu za zaman tunasema inshallah sikukuu inapita
 
Kariakoo imetapika aisee ....nimechanganyikiwa Hata pale watu wanaposema maisha ni magumu pesa hakuna,vitu bei juu.lakini nimeshangaa leo!!

Na kusafiri wetu wa umma umekuwa shida sana gari zinajaa ile mbaya!!
Mleta mada anasema "huu ndio muda muafaka wa vibaka"
Pengine huo msonganano wate unaouona 30%-40% ni vibaka tu na sio raia walioenda kununua mahitaji yao.
 
Watu wa Dar mna nyoyo za kuringishiana sana ndo maana hapo wengine utakuta wamekopa hizo pesa za maandaliz ya sikukuu.Ukweli hali n ngumu sis wengi wa mikoan tukipata ugal na dagaa na nguo zetu za zaman tunasema inshallah sikukuu inapita
Sio kila mtu anaeleta thread inayohusiana na Dar basi anaishi huku. Vile vile ni kawaida maandalizi ya sikukuu kuwa hivi kwa sehemu mbalimbali Tz
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana nauona umuhimu wa JF! Jmn fuaten ushauri mie nmepita pale nkitokea kazn kwa kweli hali ni mbaya hakuna namna ya kutembea sijui kama nimeeleweka vzr
 
Binafsi nimelazimika kutumia boda boda leo kufika kariakoo...usafiri ni wa shida sana leo kupita kiasi...nashauri watu waanze kurudi makwao mapema kuepusha usumbufu zaidi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom