wewe timu ya nje tuliyoifunga sisi Yanga ni hii ya Sudan Zalan f.c timu kubwa na ngumu sana Africa.wewe jamaa vepee!Hivi kweli kuna timu inaweza kupoteza pesa na muda kutuma mashushushu wa kufatilia timu kibonde wa afrika kama utopolo ambayo tangu 2013 haijawahi kufunga timu yoyote ya nje?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ni mashushu si hiyo yako.Utopolo hii ni ya kutumia mashushushu kweli..
ZALANI?Hivi kweli kuna timu inaweza kupoteza pesa na muda kutuma mashushushu wa kufatilia timu kibonde wa afrika kama utopolo ambayo tangu 2013 haijawahi kufunga timu yoyote ya nje?
Hebu tupatie kwanza uzoefu wa mashushu wa Utopolo waliotumwa Sudan akiwemu shushu bonge ndugu Mwaka Lebe LalaUongozi wa club ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya yanga na simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 September, wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani match analysts wanatarajiwa kushuka nchini siku ya ijumaa na taarifa za ndani znasema washapata tiketi kwa msaada wa mawakala wanao wapokea walioaminiwa na ubalozi wa Tunisia.
Watunisia hao wameonekana kuipa umuhimu mechi hiyo ili wajitengenezee mazingira ya kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho kwa kishindo, hivyo club ya yanga inapaswa kuwa makini katika siku hiyo ya mechi yao dhidi ya simba kwa kuficha baadhi ya mbinu zao.
Hiyo Zalan ndio level ya Timu tulizokuwa tunajipima nguvu nazo kama Mbuni fc, Friends Rangers nk. Hao wengine kama akina Hilal na Africain ni kama mnatuchosha tu maana huko ni level zingine wala hatukujipima kucheza nazo.wewe timu ya nje tuliyoifunga sisi Yanga ni hii ya Sudan Zalan f.c timu kubwa na ngumu sana Africa.wewe jamaa vepee!
MAMA SAMIA NI WAKATI WA KUITANGAZA YANGA NI ADUI WA TAIFA[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sa wana mbinu gani.za.kuficha 🤣🤣🤣🤣Uongozi wa club ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya yanga na simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 September, wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani match analysts wanatarajiwa kushuka nchini siku ya ijumaa na taarifa za ndani znasema washapata tiketi kwa msaada wa mawakala wanao wapokea walioaminiwa na ubalozi wa Tunisia.
Watunisia hao wameonekana kuipa umuhimu mechi hiyo ili wajitengenezee mazingira ya kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho kwa kishindo, hivyo club ya yanga inapaswa kuwa makini katika siku hiyo ya mechi yao dhidi ya simba kwa kuficha baadhi ya mbinu zao.
Matumizi mabaya ya ushushushuUtopolo hii ni ya kutumia mashushushu kweli..
ilisha kukojolea juzi juzi tu hapaUtopolo hii ni ya kutumia mashushushu kweli..
Shida ni ji eseimu,kaingiza timu yetu kwenye mikataba mingi hewa ili kuridhisha mshabiki waone Yang yetu ipo level sawa na Simba kumbe hola.Hiyo Zalan ndio level ya Timu tulizokuwa tunajipima nguvu nazo kama Mbuni fc, Friends Rangers nk. Hao wengine kama akina Hilal na Africain ni kama mnatuchosha tu maana huko ni level zingine wala hatukujipima kucheza nazo.
HSC ni wahuni sanaShida ni ji eseimu,kaingiza timu yetu kwenye mikataba mingi hewa ili kuridhisha mshabiki waone Yang yetu ipo level sawa na Simba kumbe hola.