Kardinali Pengo: Watanzania wa dini zote mniombee

Kardinali Pengo: Watanzania wa dini zote mniombee

Hajui kwamba yeye ndo karata ya mwisho ya mkulu
 
Kama huna muda wala nia ya kumwombea ni busara zaidi ukakaa kimya kuliko kumnenea maneno ya kejeli, huku ukijua ni mpakwa mafuta wa BWANA.
Mafuta yashapauka, hana upako tena
 
MWADHAMA Polycarp Kardinali Pengo amewaomba waumini wa dini zote nchini, waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili aendelee kuwa mwaminifu katika kutenda kazi ya kumtumikia Mungu.

Kardinali Pengo alitoa ombi hilo jana baada ya kuwaongoza mapadri zaidi ya 150 wa jijini Dar es Salaam kurudia kiapo chao cha upadri. Tukio hilo lilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph kwenye misa maalumu, inayowakutanisha mapadri na maaskofu kwa pamoja.

Alisema, anapenda kuendelea kuwatumikia watu kwa nia moja na moyo mmoja kwa muda wote, kwa kuwa ndio kazi ambayo Mungu amleta duniani kuitekeleza.
Pengo nae amekua anajichanganya skuiz kama Boss wake Maguful.

Sasa kama anasema Mungu kamleta afanye kazi hiyo na tayari anaendelea nayo hadi leo, sisi binadamu tunatakiwa kumuomba Mungu amfanyie nini cha zaidi?

Au anataka akawe kiongozi wa ma-polycarp mbingun teh
 
MWADHAMA Polycarp Kardinali Pengo amewaomba waumini wa dini zote nchini, waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili aendelee kuwa mwaminifu katika kutenda kazi ya kumtumikia Mungu.

Kardinali Pengo alitoa ombi hilo jana baada ya kuwaongoza mapadri zaidi ya 150 wa jijini Dar es Salaam kurudia kiapo chao cha upadri. Tukio hilo lilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph kwenye misa maalumu, inayowakutanisha mapadri na maaskofu kwa pamoja.

Alisema, anapenda kuendelea kuwatumikia watu kwa nia moja na moyo mmoja kwa muda wote, kwa kuwa ndio kazi ambayo Mungu amleta duniani kuitekeleza.

Walio karibu na huyu mzee mshaurini amwamini Yesu Kristo na ampokee awe Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
 
hivi kila siku tuwaombee wao sisi je wanatuombea saangapi ukitegemea sana kila kitu na mamlaka
 
Anatakiwa kujiombea yeye kabla ya yeye kuombewa!!
 
HUYU NAYE AMEKUWA KAMA YULE PRESDAA, ANATENDA DHAMBI HUKU AKIJUA WAZI NI DHAMBI ALAFU ANAIOMBA JAMII IMUOMBEE. MAANA HATA MAOMBI HAYO YATAKUWA KAMA DHIHAKA LEA MWENYEZI MUNGU.
 
Waumini kwenye jumuiya ndogondogo wanakuombea upambane na ugonjwa na upate hekima na busara zaidi katika kipindi hiki chenye ushawishi unaokengeusha viongozi wa dini.
Ushawishi kutoka magogoni ndiyo unamkengeusha pengo
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa.
Mara paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap, kiongozi wa malaika naye anataka aombewe
 
Funga novena umuombe Mungu wako kwa unafiki wako wa kutetea uovu na mateso kwa wasio Wana CCM
 
Neno la Kristo limeagiza kumwombea adui wako hivyo Pengo nitakuombea kama adui wa taifa kwa sasa
 
Kardinali pengo amesema hivuo kw sbbu wachungaji kw ss wanekoma kuwa watumishi waaminifu kw viapo vyao.badara yake wamekuwa watumishi wa matumbo yao.
Wala hujui unenalo, Congo DRC kanisa lime chukua msimamo thabiti sana na ni kawaida ya kanisa.

Pengo kwa sasa ni wakala wa shetani
 
Back
Top Bottom