Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Itakuwa ni kumsumbua tu Mungu.
Mbona Paulo Mtume aliomba kanisa limwombee? Yeye pamoja na watumishi wenzake? 1 Wathesalonike 5:25Natazama imani kwa namna ya kichunguzi kabisa, napata ili swali, je ni nani wa kumuombea mwenzake, askofu au muumini?
Pale ambapo Askofu anapoomba aombewe hii inaleta tafsiri gani?uwezo wake wa kuombea umeisha au hana imani ambayo ndiyo msingi wa shughuli yake.
Bwana wetu Yesu Kristo aliwahi kusema ikiwa kama mtakua na imani kama chembe ya aradali mnaweza mkaimbia miti itoke ardhini na ikawatii.
Ikiwa kama askofu ni balozi wa Yesu Kristu anapaswa awe na imani aliyokua nayo bwana wetu Yesu Kristu. YESU HAKUWAHI KUOMBA AOMBEWE ila aliwaombea watu na kuwaondolea madhila yao.
Askofu anayeomba aombewe huyo si askofu tena, nguvu zake zimeisha na imani yake imeisha. Akafanye kazi nyingine.
Povu linaruhusiwa.
Sorry atuombei wanafki,kachukue mgao wako was escrow mpyaMWADHAMA Polycarp Kardinali Pengo amewaomba waumini wa dini zote nchini, waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili aendelee kuwa mwaminifu katika kutenda kazi ya kumtumikia Mungu.
Kardinali Pengo alitoa ombi hilo jana baada ya kuwaongoza mapadri zaidi ya 150 wa jijini Dar es Salaam kurudia kiapo chao cha upadri. Tukio hilo lilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph kwenye misa maalumu, inayowakutanisha mapadri na maaskofu kwa pamoja.
Alisema, anapenda kuendelea kuwatumikia watu kwa nia moja na moyo mmoja kwa muda wote, kwa kuwa ndio kazi ambayo Mungu amleta duniani kuitekeleza.
Mkuu kwa kanisa katoliki kumuombea askofu wao na baba mtakatifu ni kawaida ktk kila ibada ya jumapili inapofika sehemu ya maombi. Haijaanza leo wala miaka michache iliyopita.Natazama imani kwa namna ya kichunguzi kabisa, napata ili swali, je ni nani wa kumuombea mwenzake, askofu au muumini?
Pale ambapo Askofu anapoomba aombewe hii inaleta tafsiri gani?uwezo wake wa kuombea umeisha au hana imani ambayo ndiyo msingi wa shughuli yake.
Bwana wetu Yesu Kristo aliwahi kusema ikiwa kama mtakua na imani kama chembe ya aradali mnaweza mkaimbia miti itoke ardhini na ikawatii.
Ikiwa kama askofu ni balozi wa Yesu Kristu anapaswa awe na imani aliyokua nayo bwana wetu Yesu Kristu. YESU HAKUWAHI KUOMBA AOMBEWE ila aliwaombea watu na kuwaondolea madhila yao.
Askofu anayeomba aombewe huyo si askofu tena, nguvu zake zimeisha na imani yake imeisha. Akafanye kazi nyingine.
Povu linaruhusiwa.
Historia ya paulo iko wazi lazima alikua aombeweMbona Paulo Mtume aliomba kanisa limwombee? Yeye pamoja na watumishi wenzake? 1 Wathesalonike 5:25
kama ni kawaida kwanini analeta maombi rasmi mengine, dozi haitoshi?Mkuu kwa kanisa katoliki kumuombea askofu wao na baba mtakatifu ni kawaida ktk kila ibada ya jumapili inapofika sehemu ya maombi. Haijaanza leo wala miaka michache iliyopita.
MWADHAMA Polycarp Kardinali Pengo amewaomba waumini wa dini zote nchini, waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili aendelee kuwa mwaminifu katika kutenda kazi ya kumtumikia Mungu.
Kardinali Pengo alitoa ombi hilo jana baada ya kuwaongoza mapadri zaidi ya 150 wa jijini Dar es Salaam kurudia kiapo chao cha upadri. Tukio hilo lilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph kwenye misa maalumu, inayowakutanisha mapadri na maaskofu kwa pamoja.
Alisema, anapenda kuendelea kuwatumikia watu kwa nia moja na moyo mmoja kwa muda wote, kwa kuwa ndio kazi ambayo Mungu amleta duniani kuitekeleza.
Kuna ubaya gani akiuomba kuombewa zaidi?kama ni kawaida kwanini analeta maombi rasmi mengine, dozi haitoshi?
Tafsiri yake ni nini?Kuna ubaya gani akiuomba kuombewa zaidi?
Cha muhimu ni kumwombea sio kutafsiri.Tafsiri yake ni nini?
Huo muda ndiyo sina kwa sasa, yeye ndiyo aniombee mimi ni muuminiCha muhimu ni kumwombea sio kutafsiri.
Kazeeka akili, kazi imemshinda anakimbia majukumu yake.Kardinali tena tumuombee sisi? wakati sisi ndio tunamtegemea yeye atuombee