Karate Kid

Dogo anapiga huyo!

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Psychologically inamjengea mtoto kujiamini....
 
kujiamini kupiga watu?

Nop....ukiangalia hiyo video clip huyo mtu mzima amejifanyisha kwamba mtoto yuko strong kamrusha...hiyo inampa mtoto kujiamini kuwa anaweza kukabili na kushinda chnagamoto kubwa hata zinazoonekana impossible. Ni sawasawa na unavyomuimbia mtoto 'kasimama dede'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…