Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,217
- 125,312
na wazee wanapenda sana kucheza karata kwa michezo mbalimbali kama Mapiku na watu tofauti kama watoto wao.
Kuna mtindo wa kucheza kwa makundi kuanzia watu wawili wawili ambapo kwenye mchezo mmoja kuna watu 4 wanaounda makundi 2.
Sasa siku moja mzee fulani akaanza kucheza na mtu mwingine dhidi ya mwanae ambaye yupo kwenye kundi na mtu mwingine. Bahati mbaya /nzuri Mzee kalamba Jike na Mwanae kalamba Dume, kwenye huo mchezo ukiwa na dume utaanza kufanya mbinu yoyote ile ili uinase jike(maarufu kama kuoa) halafu mchezo uishe na mshinde kwa urahisi. Sasa dogo bila kujua kafanya mbinu yoyote ile akishirikiana na mwenzake ili waioe jike na kujinyakulia ushindi, Duuuh kumbe Baba yake alilamba jike hatimae kaangukia kuolewa na mwanae huku watu wakishangilia.
Tupia vituko vingine vya michezo ya karata