Karantini na changamoto zake

Nimevaa barakoa na gloves utadhani mhudumu wa afya, napata habari za kutosafisha maliwato baada ya huduma.
 
Mimi hata huo usafi sio changamoto yangu, tabia yake hili libaba ya kutaka muda wote tufanye mapenzi, yaani iwe asubuhi ama mchana au hamjala au mmekula yaani akiona tu nimekaa chini anataka tufanye, iwe mnaangalia movie anataka, ukiwa unaoga huyo kashakuja😏 woiii nimechoka mimi ukikataa ananuna mwisho inabidi tu uumpe. Yaani kama kalogwa hivi. Mpaka nawaza au alikuwaga na michepuko huko sasa hii Corona inamfanya ashindwe kwenda.
 
kama unafamilia ndogo,na vitu ni ndani kwa ndani hakuna shida,usafi unafanyika
 
mzalie mtoto,ili akuoe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…