Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

3.Karanga na Mafuta ya mzeituni

Karanga ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binadamu na hutumika katika sehemu nyingi sana.

Pia karanga ina kiwango kikubwa sana cha protini na wanga, vilevile Karanga ni moja ya virutubisho muhimu katika lishe, haswa kwa wale ambao wanataka kupunguza uzito.

Kwa mafuta ya mzeituni yanamsaada mkubwa pia hasa katika masuala ya tiba kwa baadhi ya magonjwa, lakini mchanganyiko wa mafuta hayo na karanga yanaleta shida ila inashauriwa kutumika pale moja inapokosekana lakini sio kwa pamoja.View attachment 2414148
Kifurushi cha 3G
 
3eef8d34-2da0-4bf4-80da-c6a325665180.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom