Karafuu ina madhara na faida


Mzizimkavu nakufurahia sana jinsi ambavyo unatiririka kuchambua maradhi na unavyotoa ufafanuzi na tiba mbadala. Mungu akutunze sana ili tuendelee kupata ushauri wako . Watu wamesaidika sana humu JF...
 
Kwenye diabets kusema clove oils unamaanisha tunywe mafuta yake??
 
Kwenye diabets kusema clove oils unamaanisha tunywe mafuta yake??
Ndio unakunywa Mafuta ya karafuu kwenye maji ya uvuguvugu unatia kijiko 1 ndani ya glasi ya maji ya uvuguvugu unakoroag na kunyw ainasaidia kurekebisha maradhi ya kisukari. Lakini ukitaka dawa ya kutibu Maradhi ya kisukari ninayo kunipata mimi
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta.
 
niliwahi kusikia ukichemsha punje chache ukaacha ipoe na ukanywa kila cku asubuh kabla ya kula chochote ni dawa ya pumu,je doct hili ni kweli?
 
Namimi naanza kuanzia Leo ,,
 
niliwahi kusikia ukichemsha punje chache ukaacha ipoe na ukanywa kila cku asubuh kabla ya kula chochote ni dawa ya pumu,je doct hili ni kweli?
Hata Mimi nimewahi sikia kusoma humu jamii forum lakini haikutolewa ufafanuzi,dose hasa Na je ni vikonyo au buds waliandika loweka punje sita usiku kunywa kwa siku kumi Na tano bado sijaweza sifahamu unaloweka kipande kipi Na maji ya namna gani.

Mimi imenisaidia sana nilikua napiga sana chafya asubuhi au nikienda kariakoo Sanaa hadi macho yanavimba yanawasha Na kuwa mekundu mwanzo niliogopa sana nikawa siendi kkoo ,baadae nikaanza kutafuna angalau punje mbili kila nikianza safari ya kkoo ukweli imeisha namshukuru Mungu sana

Asante Mzizi Mkavu
 
Karafuu zinapatikana wapi mkuu, nahitaji.
 
Faida za karafuu ni nyingi kama wakuu walivyo tiririka huko juu, ila itumike kwa kiasi kuna kemikali inaitwa 'eugenol' na nyingine zikizidi mwilini zina athari zifuatazo; kutokwa na damu kwa wingi ukiumia, matatizo ya koo, kupumua, mouth sensitivity, toxicity, matatizo ya figo na ini, just to mention a few. Binafsi kabla ya kufanyiwa operation niliambiwa nisitumie karafuu kwa wiki mbili.
 
Asante sana
 
Karafuu zinapatikana wapi mkuu, nahitaji.
Kwenye maduka hasa ya viungo vya chakula,sokoni nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…