Kapuya; Nihurumieni jamani


saa sita imeshapita kagoma kuchukua hela? mbona povu?
 
Kwa nini hao Tanzania Daima hawamsaidii huyo wanayedai kabakwa aende mahakamani?
Nyani Ngabu, I beg to differ. I only wish you knew...or may be you know, huu utetezi wako kwa huyu mtuhumiwa hakika si wa kawaida. Kuna mchezo unachezwa hivi sasa wa kitoto kabisa; kwa mfano text zinazoendelea kutumwa kwa kutumia namba ya simu inayojulikana wazi ni ya Kapuya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa labda Professor anaonewa. It is all a red herring kama ilivyo video ya kipuuzi iliyoletwa humu eti ya binti anayedaiwa kubakwa...bahati nzuri gazeti la Tanzania Daima didn't fall for that, wao wanaripoti walicho na uhakika nacho.

Kwa point yako ya huyo binti kwenda mahakamani pia I beg to differ...ni wazi kuwa jitihada kubwa zimefanyika kujaribu kuzima huu moto ukiwashirikisha watu wazito. Sehemu pekee iliyobaki ni mahakama ya Umma na hapa ilipofikia ndipo pahala pake...kama yupo anayedai kachafuliwa na haridhiki na hukumu inayotolewa na Umma, njia nyeupeee, akate rufaa mahakamani. Mimi sina huruma na wabakaji kwa sababu mimi ni mzazi na kwa tamko la Tanzania Daima leo kuwa haliombi radhi, namshauri Professor asisubiri, afungue kesi haraka.
 
kama kweli maneno ya hiyo sms ni ya kapuya nina
pata taabu kujua kama ni profesa wa ukweli ama laa!!!!!!!!!! lakini pia naanza kuhisi kitu hapa je, haiwezekani kuwa hiyo namba imesajiliwa kwa jina la kapuya lakini mtumiaji sio yeye?!! ama wakati akimuamini huyo binti alimuachia simu yake ikiwa imesajiliwa!!!!!!!!! ama imesajiliwa tu kwa jina la kapuya!!!!
 
Hii issue sasa imeanza kuchosha. Hakuna kinachoeleweka.....Itaishia tuu jujuu kama skendo zoote zilizopita.
 

Yy mwenyewe mavimavi, tabia zake mavimavi, atashindwa kuandika umavimavi?
 
Nyani Ngabu, I beg to differ. I only wish you knew...or may be you know, huu utetezi wako kwa huyu mtuhumiwa hakika si wa kawaida.

Kwanza hakuna popote pale nilipomtetea huyo bwana. Kama papo, naomba nionyeshe. Lakini, na wewe huu ushadadiaji wako wa hiyo habari ya Tanzania Daima si wa kawaida. Sijui hata kama unaliona hilo.

Kuna mchezo unachezwa hivi sasa wa kitoto kabisa;

Nani anaucheza? Wewe, Tanzania Daima na Machadema wenzio humu?

kwa mfano text zinazoendelea kutumwa kwa kutumia namba ya simu inayojulikana wazi ni ya Kapuya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa labda Professor anaonewa.

Hizo texts wewe umeziona kwa macho yako au umeona tu machapisho yake humu JF? Na una uhakika gani kama kweli zimetoka kwa Kapuya? Ulimwona wakati anaziandika na kuzituma?

It is all a red herring kama ilivyo video ya kipuuzi iliyoletwa humu eti ya binti anayedaiwa kubakwa...bahati nzuri gazeti la Tanzania Daima didn't fall for that, wao wanaripoti walicho na uhakika nacho.

Kwa hiyo wewe umeamua kuliamini Tanzania Daima moja kwa moja bila hata kuhoji chochote? Kaazi kweli kweli.

Kwa point yako ya huyo binti kwenda mahakamani pia I beg to differ...

Fine. Na aendelee tu kwenda Tanzania Daima.

ni wazi kuwa jitihada kubwa zimefanyika kujaribu kuzima huu moto ukiwashirikisha watu wazito.

Lete ithibati ya hilo.

Sehemu pekee iliyobaki ni mahakama ya Umma na hapa ilipofikia ndipo pahala pake...

Unaona sasa....hapa ndo agenda nyingine inapovuliwa nguo. Kwa hiyo nyie mnataka tu kumsulubu Kapuya kwa kumtumia huyo mdada ambaye hata hamumjui ili mjishindie vijipointi vya kisiasa? Mnasikitisha.

kama yupo anayedai kachafuliwa na haridhiki na hukumu inayotolewa na Umma, njia nyeupeee, akate rufaa mahakamani.

Na kama kuna anayedai kubakwa na Kapuya na aende mahakamani. Zaidi ya hapo ni makelele ambayo yataisha na upepo tu ambao utapita.

Mimi sina huruma na wabakaji kwa sababu mimi ni mzazi na kwa tamko la Tanzania Daima leo kuwa haliombi radhi, namshauri Professor asisubiri, afungue kesi haraka.

Hata mimi nawachukia kabisa wabakaji. They are worse than the scum of the earth.

Hivyo mimi nawashauri wewe na Machadema wenzio mumsaidie huyo anayedaiwa kubakwa kwenda mahakamani ili haki iweze kutendeka.
 
Nani anaucheza? Wewe, Tanzania Daima na Machadema wenzio humu?...
Hivyo mimi nawashauri wewe na Machadema wenzio mumsaidie huyo anayedaiwa kubakwa kwenda mahakamani ili haki iweze kutendeka.




Nyani Ngabu, one, FYI naichukia CCM na naunga mkono jitihada za Chadema lakini si mwanaChadema. Two, when the acid is too concentrated to handle, dilute it, that's what! Fortunately there is plenty of water all around us, that's the game, got it?
 

Bana eeh, acha viroja. Jibu hoja.

Unaleta mafumbo kwani tupo kwenye rusha roho hapa!
 
Hivi kapuya anaweza kutumia neno KUSEPA...... Hebu watu wazima tusaidieni hapo... Ilikiwa unaumri sawa na Kapuya au unakaribiana... Unakabiliwa na tatizo tajwa hapa jamvini... Unaweza kutumia neno kusepa??


Sio kutumia neno hilo tu, haiyumkiniki mtu mzima aliye kuwa waziri atishie kuua kwenye text messaging system.
Wanaompaka mavi Kapuya sasa wataumbuka wao.
Namba imekuwa "cloned" kitu cha rahisi sana kufanya.
 
hawezi kusamehewa kwa makosa hayo ,,na kwakuwa kakili ndio kaharibu kabisa atafungwa mbaya huyu,,itabidi akafungwa ili babu seya atoke ,maana makosa yanafanana,wote wabakaji,kapizo the massive haha
 
Hivi baada ya hili sakata kuwa gumzo la jiji bado anaweza kuendelea kujidhalilisha na sms za kipuuzi? Nadhani kuna mtu anatumia simu yake. Msomi kama yeye kweli!! Kama ndivyo basi usomi wake hauna maana kabisa! Bora angekuwa mhuni tu wa mtaani!!!
 
Honestly, watu waache matani!This baba cant write such sms jamani kha!Kwa hali ilivyo sasa Kapuya hawezi kuandika sms kama hiyo. Naanza kuamini huenda hii kitu yoote imepikwa tu!
 
Naanza kupata picha kuwa si kapuya anayetuma msg hizo, hyo namba may be imekuwa hawkerd
 


Kuna harufu ya ukweli hapa !
sms hazina haiba wala intonation kwamba zinatoka kwa Le Professeri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…