Kapuya; Nihurumieni jamani

Kapuya; Nihurumieni jamani

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
876
Prof J. kapuya amejitokeza tena kwa staili ya tofauti ikiwamo kumpigia simu mshtaki wake akiomba wayamalize kiaina.

Akitumia no ilele 0784993039 ambayo awali aliikana, juzi jumamosi alimpigia mshtaki wake na kumwomba wakutane ofisini kwa DPP na aseme kuwa hana haja na kesi.

ujumbe uliotumwa ulisomeka hivi, "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwa nini hamkubali? hivi hela nitakayompa akuue si bora nikupe uanze maisha? wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mm nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa nyie mtapata nini? nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua paspoti unasepa hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? jiangalie....."

Source; Tanzania Daima Nov 20 13
 
Hadithi nyingine za kutunga zinachekesha sana. Watu wana utaalamu wa KUTUNGA uongo.
 
nafkiri ili suala tukae tuone mwisho wake utakuwaje
 
Prof J. kapuya amejitokeza tena kwa staili ya tofauti ikiwamo kumpigia simu mshtaki wake akiomba wayamalize kiaina.

Akitumia no ilele 0784993039 ambayo awali aliikana, juzi jumamosi alimpigia mshtaki wake na kumwomba wakutane ofisini kwa DPP na aseme kuwa hana haja na kesi.

ujumbe uliotumwa ulisomeka hivi, "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwa nini hamkubali? hivi hela nitakayompa akuue si bora nikupe uanze maisha? wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mm nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa nyie mtapata nini? nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua paspoti unasepa hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? jiangalie....."

Source; Tanzania Daima Nov 20 13

Kapuya kama kweli unaoutu Watanzania wanao utu zaidi wapo tayari kukusamehe na mambo yakaendelea kama kawaida.
Ushauri wangu ni huu, itisha mkutano na vyombo vya habari pale Habari na Maelezo, usijitetee bali omba msamaha kwamba kweli ulikiuka MAADILI YA UONGOZI hivyo ungependa WATANZANIA WAKUSAMEHE. Huwezi amini utasamehewa hapo hapo, hakuna atakaye kuwa na dharau kwako kuanzia pale MAELEZO.
Believe me!
 
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
 
...kuanzia leo naondoa neno 'p' kwenye prof. Kapuya, so kwangu ni rofa kapuya...
 
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!

na wewe hivyo hivyo,sorry nimesema kimoyomoyo hakuna aliyesikia
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
 
Kb52 Matusi hapa si mahala pake, halafu andika kinachoeleweka, bana bana bana ndiyo nini? vilevile source nimeweka pale inaonyesha hujasoma thread la sivyo ungeomba ilifungie gazeti tajwa na mimi kupigwa ban
 
Kapuya kama kweli unaoutu Watanzania wanao utu zaidi wapo tayari kukusamehe na mambo yakaendelea kama kawaida.
Ushauri wangu ni huu, itisha mkutano na vyombo vya habari pale Habari na Maelezo, usijitetee bali omba msamaha kwamba kweli ulikiuka MAADILI YA UONGOZI hivyo ungependa WATANZANIA WAKUSAMEHE. Huwezi amini utasamehewa hapo hapo, hakuna atakaye kuwa na dharau kwako kuanzia pale MAELEZO.
Believe me!mh. ushauri huo ni bora kwani watanzania tumeshafamu yule bint sio mwanafunzi ni kimama flani!do that never fear trust yourself
 
Kaka umeshachelewa maisha kapuya kwa sasa hana uwezo hata kukuweka kwenye serikali za mitaa ni bora ukaenda kwake kwanza anakujua anajua ulichokifanya atakupa kazi nzuri za ndani angalau maisha yatabadilika kidogo
 
Familia ya mzee huyu wadhibiti sana mienendo yake tangu sasa!...vinginevyo anaweza 'kusepa' kama alivyosema mwenyewe!
Majuto ni mjukuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom