Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
352
547
Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao.

Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM.

Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa, Ukiangalia Angle ya Picha ilivyopiga mwanamke haonekana na inaonekana imepigwa harakaharaka kwa kujificha, na sio kutokea Dirishani.

Au Video akimrekodi akiingia Room, maadili yaenda kuaribika sasa, vijana tuweni makini mnoo, yaaije yakakukuta ukaja laumu kila mtu.

Na waliofanya hivyo sheria ifaye mkondo wake, kwasababu endapo akafanya hivyo Mwanaume mnajua kitakachomkuta..

Hii haijakaa kijinsia lakini ni hali halisi inayokuja kwa kasi sanaa hivi karibuni.
 
Duh; kweli dunia imebadilika! Zamani wadada and females in general ndio waliokuwa wanaumizwa vibaya kwa siri zao kimahusiano kujulikana sembuse kuwekwa hadharani!

Today, it's the other way around; kinadada ndio wana confidence kuanika ujinga waliofanyiwa faraghani na wapenzi wao huku vijana wa kiume wakificha sura zao! Where are we heading to? Wahenga akina johnthebaptist hii vipi?
 
Wanawake wengi wanaovujisha haya mambo ni makahaba na wanaume wengi wanaoathirika ni wanaume wenye familia na hadhi kwa jamii. Na ukichunguza zaidi utakuta hao wanaume kuna muda walitumia ulaghai baada ya kupata wanalichotaka i.e. hawakulipa deni. Mtu umeoa na una familia unakwenda kulala na kahaba ukitegemea mazuri?
 
Muda gani anarekodi?, una kidemu ndani hakuna kushika simu *****.
Mwanaume uki-treat vizuri mwanamke ni nadra sana kuvujisha video yako. Labda awe ametumwa kwa shughuli maalum. Wengi ya wanaume ambao mambo yao yanavujishwa inatokana na malipo au kuwadanganya wasichana kuwa watawaoa au kuwafanyia jambo kubwa na wasitimize.
 
Wanawake wengi wanaovujisha haya mambo ni makahaba na wanaume wengi wanaoathirika ni wanaume wenye familia na hadhi kwa jamii. Na ukichunguza zaidi utakuta hao wanaume kuna muda walitumia ulaghai baada ya kupata wanalichotaka i.e. hawakulipa deni. Mtu umeoa na una familia unakwenda kulala na kahaba ukitegemea mazuri?
... ukishakuwa na familia au hadhi kwenye jamii never cahabit with prostitutes! Otherwise, get prepared for the consequences!
 
Nasikia mwamba ni mafia Mange kaogopa kuvujisha...au ndo siku ya idd atafanya? Ngoja tuone..yani eti watu wamefunga wanasubiri siku ya idd wafungulie na waliochafua hali ya hewa kwa Mange..hii dunia imebinuka walai..

Ukiona mange hajavujisha ujue kalipwa hela nyingi sana na huyo mwenye skendo.

Mange mwenyewe mafia ndio maana alikuwa anawatukana kina Magufuli bila uoga. Imagine RAIS wa nchi hakumuogopa.

Mange kamtukana Mufti mkuu wa nchi. BAKWATA mashehe wote na dua zao kimyaaa.. hata kusoma Al badiri walishindwa.

Mange asiwaogope IGP wa polisi na mkuu wa majeshi. Amuogope waziri mstaafu mafia wa mtaani ambaye watu wanamtombeazz mke wake na hawafanyi chochote

Mange sio mwepesi.
 
Mwanaume uki-treat vizuri mwanamke ni nadra sana kuvujisha video yako. Labda awe ametumwa kwa shughuli maalum. Wengi ya wanaume ambao mambo yao yanavujishwa inatokana na malipo au kuwadanganya wasichana kuwa watawaoa au kuwafanyia jambo kubwa na wasitimize.
Sasa kama kwa Mange K. App anavuna 1m, hata kama umempa 200k ataacha kumpenyezea Mange mzigo?
 
Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao.

Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM.

Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa, Ukiangalia Angle ya Picha ilivyopiga mwanamke haonekana na inaonekana imepigwa harakaharaka kwa kujificha, na sio kutokea Dirishani.

Au Video akimrekodi akiingia Room, maadili yaenda kuaribika sasa, vijana tuweni makini mnoo, yaaije yakakukuta ukaja laumu kila mtu.

Na waliofanya hivyo sheria ifaye mkondo wake, kwasababu endapo akafanya hivyo Mwanaume mnajua kitakachomkuta..

Hii haijakaa kijinsia lakini ni hali halisi inayokuja kwa kasi sanaa hivi karibuni.
Hii ni tabia mbaya na ya hatari sana ktk maisha, hao wanaofanya hivyo wanatakiwa watafakari mara mbili mbili juu ya madhara au matokeo yake baada ya kufanya hivyo. Watambue kwamba "actions and reactions are equal but opposite in directions."

Aidha, ifahamike tu kwamba kutokana na kukua kwa kasi kwa tasnia ya sayansi na teknolojia, siku hizi vifaa vya kurekodi video na/au audio vimekuwa vingi sana, hivyo suala la faragha (privacy) limekuwa lipo hatarini sana kupita kiasi. Umakini na Uangalifu wa hali ya juu sana unahitajika muda wote. Kwa kifupi ni kwamba kuna ULAZIMA kwa sasa watu kufundishwa au kupewa mafunzo ya msingi (Basic Foundation Course) ktk masuala ya Ujasusi ili kuwajengea watu uwezo wa kuweza kung'amua mapema 'Vihatarishi' vya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom