Kapumzikeni kwa amani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,836
730,292
1460450684111.jpg
 
Ndo mapenzi ya kweli? Wazazi wa demu walikataa jamaa asioe binti yao, demu akasema kama siolewi na jamaa najiua, jamaa aliposikia akasema kama unakufa bora tufe wote.
 
Nilisoma article yao, hawa ndugu walibakwa na ni untouchable castle hi vyo hawakuwa na la kufanya maana ni aibu kwa ukoo mzima. Waliowabaka wanatoka castle ya juu na hawakuchukuliwa hatua.
 
Back
Top Bottom